Samsung Galaxy Nexus: INANITOA JASHO!

Amoeba

JF-Expert Member
Aug 20, 2009
3,289
781
Wakuu, hii simu imenishinda kabisa kuunganisha na internet; natumia line ya voda, nimeingiza settings kama ifuatavyo lakini chali;

Profile(account) name: voda tz
Proxy sever number:010.154.000.008
Proxy port number:9401
Acces poin name(APN): wap
Username:
Password:

MSAADA TAFADHALI!

Samsung Galaxy Nexus.jpg
 
weka settng za airtel utapata net. Wewe jaza apn internet na kwenye name weka airtel internet alafu save,activate
 
weka settng za airtel utapata net. Wewe jaza apn internet na kwenye name weka airtel internet alafu save,activate

Mkuu, haina haja ya proxy server adress? Nipe settings zote kama inawezekana mkuu! Thanx
 
Nenda site ya voda tz, fuata maelekezo, utapata settings :: Vodacom Tanzania - Services/Automatic configuration

i got galaxy 2 myself also imenito jasho kuconfigure kwa net ila nimefata maelezo yako nimekwama nimetumiwa config file lakini sio kwenye inbox inaniambia ni activate top menu ndo niendelee ila kila nikizunguka sioni pa ku activate hiyo top menu na naliona hilo config file liko hap[o top ya screen!
 
Kwenye APN andika Internet kama mkuu alivosema hapo juu na profile andika internet pia save then activate..no hassle..by the way,that a sexy phone!!!
 
Kwenye APN andika Internet kama mkuu alivosema hapo juu na profile andika internet pia save then activate..no hassle..by the way,that a sexy phone!!!

Kaka imekubali, hureeee!
 
Back
Top Bottom