SAMSUNG Galaxy J7

SAMSUNG Galaxy J7

A teller

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2018
Posts
531
Reaction score
724
Habarini wakuu

wakuu msaada tafadhali..

nina simu ya samsung j7 max nimeinunua hivi karibuni inanisumbua hatari, hadi sasa ninaiinstoll wasap inagoma inaandika watsap error, nimejaribu kuistore ili ianze upya lakin baada ya muda tatizo ni lile lile linajirudia

wakuu mwenye kujua mambo ya software naomba anisaidia kunipa ushauri kwani siwezi kwenda dukani tena na risiti nimeimiss place
NB. simu haijajaa

asanteni...
 
Chukua IMEI Tuma Kwenda Number 15090
Kujiridhisha Iwapo Ni Original, Kuna Jamaa Alikuwa Na Samsung Galaxy J7 Kumbe Siyo Original


Alipotuma Kwenda Hiyo Ikakataa
 
Chukua IMEI Tuma Kwenda Number 15090
Kujiridhisha Iwapo Ni Original, Kuna Jamaa Alikuwa Na Samsung Galaxy J7 Kumbe Siyo Original


Alipotuma Kwenda Hiyo Ikakataa
ok sawa mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom