Arabian Eagle
Member
- Oct 1, 2018
- 71
- 46
- Thread starter
- #21
YupBut sahivi inafika mpaka 0% ndo inazima au?
YupBut sahivi inafika mpaka 0% ndo inazima au?
Some iPhone XS and XS Max devices are experiencing charging issuesTuki waambia mtumie iPhone hamtaki.
Sasa hapo utajifunza kwa vitendo
Kuna watu wana fikiria kuwa na Iphone ndo kila kitu(Yaani ukiwa na Iphone ndo una karibia kushika mkono wa mwenyezi Mungu)............Asanteee.
Ni kweli kabisa. Kila simu ipo na shida zake baada ya kufikia umri fulani.Kuna watu wana fikiria kuwa na Iphone ndo kila kitu(Yaani ukiwa na Iphone ndo una karibia kushika mkono wa mwenyezi Mungu)............
Si bora huyo kuliko kutembea na Power bank na Charger pembeniTuki waambia mtumie iPhone hamtaki.
Sasa hapo utajifunza kwa vitendo
Miaka mi 3Ina umri gani tangu uanze kuitumia? Hebu tuanzie hapa.
Jaribu kufanya calibration,Habari zenu wakuu
Simu yangu sielewi ina tatizo la betri ama laa. Nikicharge ikifika 100% nikichomoa inakuja 99% au saa zingine 95%
Na si chini ya watu wa3 mpaka wa4 nimewasikia wanalalamikia swala hili.
Kama yupo anaeelewa kusolve tatizo hili basi naomba msaada.
Poa ntajaribuJaribu kufanya calibration,
How to calibrate the battery on your Android phone or tablet | AndroidPIT
Kaka ahsante sana.. nimeweza nimefanikiwa njia ya kwanza.Jaribu kufanya calibration,
How to calibrate the battery on your Android phone or tablet | AndroidPIT