Wapi naweza kupata hii simu.Naona inakuja na Android ver6 ambayo ina features nyingi nzuri.Nimejaribu kutafuta kwenye maduka ya online bado haipatakani.Vipi kuna ambaye ameshatumia android ver6?
Samsung Galaxy J5 (2016) - Full phone specifications
Samsung Galaxy J5 (2016) - Full phone specifications