samsung galaxy duos is very hot

samsung galaxy duos is very hot

Haisumbui

New Member
Joined
Jun 13, 2014
Posts
1
Reaction score
0
Habari zenu nina tatizo la simu yangu ya samsung galaxy dous inakua slow sana na inakua ya moto sana na inajizima yenyewe na wifi pia haifunguki naomba msaada kwenu
 
Mkuu nikafikiri unaisifia kumbe ina matatizo!!

Badilisha Title upate msaada!
 
Had the same idea. Duh.
Ngoja waje, watakusaidia. Mi mwenyewe natumia aina hiyo ya Samsung, GT 7562
 
Habari zenu nina tatizo la simu yangu ya samsung galaxy dous inakua slow sana na inakua ya moto sana na inajizima yenyewe na wifi pia haifunguki naomba msaada kwenu

Hizi simu zipo sloow sana nadhani ni mi nadhani ni processor ndogo ram ndogo na mbaya zaidi internal memory ndogo
 
Habari zenu nina tatizo la simu yangu ya samsung galaxy dous inakua slow sana na inakua ya moto sana na inajizima yenyewe na wifi pia haifunguki naomba msaada kwenu

Achana na vicm hivyo kamata iphone5 upate thamani halisi yapesa yako ngoja nikupe faida mbili tu za iphone 1:iko fasta2:aiingii virus tafuta iyoo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom