Wakuu naomba msaada ..simu yangu hata mwaka haijafika .samsung galaxy advance original si mchina
Imezimika hafla kuwaka inawaka na ukipiga simu inaita na fresh tu but kioo hakioneshi..kitu
.yaani kiza kabisa..nimejaribu kumpelekea fundi .kajaribu kubadilisha kioo pia haijakubali ..msaada please..
.