Samsung Galaxy A8s Tishio jipya kwa Apple

Samsung Galaxy A8s Tishio jipya kwa Apple

Kaplizer

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
727
Reaction score
598
Samsung hawatanii bhana wako seriously na biashara.. wamekuja na hiki chombo kutuliza mbwembwe za iPhone na matoleo yake mapya yaliotikisa soko la simu barani Ulaya, Asia na soko Zima la America..
Kazi kwenu wadau wa Samsung.
Bei yake ni chini ya $450
1.jpeg
images%20(15).jpeg
IMG_20181228_174229_247.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatimaye simu zimefika mwisho.

Anayejua watatengezeza simu yaa aina gani,wote apple na samsung 2019 aniambie.
 
Mkuu, mada yako inakosa nyama, ulitakiwa kueleza hata kwa kifupi ni vitu gani vipi kwenye hiyo simu ambavyo ni tishio kwa Apple ili watu waweze kuchambua kama ni kweli au la


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom