Samsung Galaxy A32 vs Xiomi redmi note 10 pro

Samsung Galaxy A32 vs Xiomi redmi note 10 pro

codifier

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2017
Posts
438
Reaction score
872
Wakuu naomba ushauri ipi simu nzuri zaidi kati ya hizo, kwa kuwa nipo kwenye mpango wa kununua simu yenye specifications nzuri

High processing power
Ram at least 4gb or 6gb
Memory at least 128gb

Simu hizo nimeona kupitia link hii ya Tigo kwa bei tsh. 600,000 hadi 620,000


Pia nina iPhone 7, 128gb Iko fresh kabisa nimetumia miezi 2 tu na bado ipo na sealed yake naiuza tsh. 400,000 tu kama utaipenda Njoo pm.

Nataka kuamia kwenye Android

0edd64fb-1f00-46df-a930-632084e3f3f3.jpg


f5afa64c-fa9b-409e-990a-318322e5e7df.jpg


Ahsante na muwe jp njema
Karibuni wakuu
 
Umechemka kuchanganya mambo ya magari na mambo ya simu kwenye uzi mmoja.

Ondoa hiyo mada ya magari peleka kwenye jukwaa la magari.
 
Back
Top Bottom