Samsung galaxy A20

Iyo charger ni OG? yani ndio iliokuja na simu?
 
Hapana ni og
Kuna mda simu ilaleta msg kwamba simu imekuwa overheat wakati ukiishika simi ni baridi kabisa
Hapo utakua uliingusha betry ikapata mtikisiko na zile waya sijui kitaalam zinaitwaje zikahama kidogo kwenye njia yake yaan waya zinazotoka kwenye betri kwenda sehemu nyingine ya simu ya kwangu ilikua inaniletea low temperature... (japo sio samsung) walivyo iseti na kuzirudisha vizuri ikakata kuleta hilo tatizo. Naongea haya sio mtaalamu wa simu na huwenda ttzo lako halijasababishwa na kuanguka
 
Samsung g A20 haiko hivo hiyo ni tecno yenye housing ya A20 umeliwa
 
Badilisha chaja au wire wake , bila hivyo utaikosa hiyo sim siku sio nyingi
 

Boss niliwahi dondosha mara moja but yapata mwezi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ