Phone4Sale Samsung Galaxy A16 inauzwa

Phone4Sale Samsung Galaxy A16 inauzwa

mrsmaiko

Member
Joined
May 17, 2024
Posts
32
Reaction score
39
Brand new.imenunuliwa week iliyopita. Inauzwa. Sababu za nje ya dharura.
 
Attachments

  • Screenshot_20251006_080343_Google.jpg
    Screenshot_20251006_080343_Google.jpg
    155.1 KB · Views: 20
Bei ni 350. Rang ni silver. Ipo full box na usb type C . Picha sasa labda kuomba simu ipigwe ndio ipostiwe. maana ndio hii hii.Naitumia Haina kasoro yoyote .
Kama simu unaitumia kwanini kwenye uzi wako umesema ni Brand new?
Au hujui maana ya brand new?

Brand new ni kitu ambacho hakijatumika,completely new,not used before,unused,

Kitu hata ukikitumia kwa siku moja tu basi kinakosa sifa ya kuitwa brand new,

Kila la kheri upate mteja wa kununua hiyo simu.
 
M

Watanzania kulaliana ndio zetu. Simu ina week toka inunuliwe. Sawa na umeambiwa ni mpya. Au unaziamini zile simu used na zimeshafunguliwa na mafundi. Simu ina week unaitia kasoro. Haya ubarikiwe.nyie hamkosekani
 
Hujaelewa point yangu,
wala sijaiponda simu yako,
Mimi nimeelezea matumizi sahihi ya neno Brand new,
Hebu nisome tena kwa umakini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom