Dee_Aristotle
Member
- May 29, 2021
- 54
- 30
Wadau, hapa kwenye Samsung Galaxy A02 tulipigwa hapa au nyinyi mnasemaje?
270kUnamaanisha nini? Kwani uliuziwa bei gani?
Wanauza hadi laki 3, bei ya chini zaidi kuiona hadi 210k270k
Kwel aiseee hamna kitu pale A02 ni takataka tuTulipigwa ndio.
Hakuna maelezo mengine kwa simu ambayo haina fingerprint sensor wala face ID for >250k.
Tofauti ya hiyo simu na nokia torch ni kwamba hiyo A02 inaingia whatsapp na instgram.View attachment 1810267
Naona wanaitangaza sana maredion8
Inakuaje hiyo kufanyiwa software?Software case ,memory imecollapse inaitaji kufanyiwa software .
Software case ,memory imecollapse inaitaji kufanyiwa software
Baadhi mkuuInafuta contacts nzima ? Au baadhi ?
Baadhi mkuu
Jaribu ukisave Namba anza na Code +255
Habari zenu ndugu zangu
Simu yangu ni galaxy A02 ina tatzo la kupoteza baadhi ya contacts nilizozisevu sijui shida ni nini? Kwa anayefahamu anisaidie hili tatizo linanikera sana
Natanguliza shukrani zangu kwenu.