SAMSUNG FLAT SCREEN SERIES 5 BUILT IN KING'AMUZI

SAMSUNG FLAT SCREEN SERIES 5 BUILT IN KING'AMUZI

Geekunexpect

Member
Joined
May 4, 2016
Posts
50
Reaction score
33
Hizi TV zina sehemu ya kuweka card kama decoder mbalimbali.Je card zake zinapatikana wapi na ukipata card yake unaweza itumia bila decoder ama kuitumia kwa Antenna ama dish 6 inches??

Na pia mikoani let say Dodoma unaweza weka antenna peke yake ukashika channels za local kama ukiwa mjini Dar??
 
hzo sizipati ila kuna zile unaweka antena then una autosearch chanel zinakuja kisha watazama kama kawa
 
hzo sizipati ila kuna zile unaweka antena then una autosearch chanel zinakuja kisha watazama kama kawa
Thanks.je mikoan kwa mfano dodoma ama shinyanya.ukiweka Antenna uka autosearch zinakubali?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom