SAMSUNG Flat screen, LCD inch 32 inauzwa

Jack Beur

JF-Expert Member
Feb 26, 2010
222
246
Ina hali nzuri, ina mwaka mmoja na miezi 4, bei Laki 8.
Serious buyer njoo inbox
 

Attachments

  • 20171227_153640.jpg
    20171227_153640.jpg
    126.9 KB · Views: 86
ilianza LCD tukahamia LED na sasa ni mwendo wa Smart tv... wewe unaturudisha nyuma kwa bei kubwa ajabu
 
Ina hali nzuri, ina mwaka mmoja na miezi 4, bei Laki 8.
Serious buyer njoo inbox
Duuuu mkuu unatafuta mtaji mm Smart tv samsung 32 nimechukua kwa lak 7 iyo lcd mbona kitambo ata kwa laki 4 anunui mtu labda ukaiuze kijijini
 
LCD used laki 8? Itakuwa ya urithi na bahati mbaya marehemu alipoteza receipt ya manunuzi basi mliochiwa mnabuni tu bei
 
mkuu habari yako?
hiyo bei kwa hiyo TV mkuu
ni kubwa kwa vigezo vifuatavyo
1. NI TOLEO LA ZAMANI KIDOGO
2. INCH 32
3. USED
 
Tobaa lcd umenunua una mwaka na miezi minne unauza laki8.wewe si utakuwa uliuziwa milioni na nusu
 
  • Thanks
Reactions: PNC

Similar Discussions

Back
Top Bottom