Samsung digital camera megapixels 12 at 250,000/=shs

Samsung digital camera megapixels 12 at 250,000/=shs

The Dude

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
1,029
Reaction score
464
Wataalam naomba msaada..kamera ya specifications hizo hapo ni nzuri?
Na je kwa bei hiyo ni reasonable?
Thanks
 
ni nzuri na bei huwa inachange kutokana na thamani y TSH. so huwa inarate 210000 - 270000.
 
Wataalam naomba msaada..kamera ya specifications hizo hapo ni nzuri?
Na je kwa bei hiyo ni reasonable?
Thanks

Mkuu hebu eleza kwanza matumizi yako ni nini.
Inaweza kuwa nzuri au isiwe kutegemeana na aina ya matumizi yako.
 
Back
Top Bottom