Samsung camera inauzwa

Samsung camera inauzwa

Vip iyo bei ni fixed au ni tunaongea kaka
 
Yap Naitaji iyo Nikon D3200 na lens yake
 
Sawa ila na za Nikon D3200 unayo kaka Nikon Em Naitaji iyo na si canon
 
Sikukatishi tamaa mkuu just wazo tu,biashara za camera as camera(domestic ) zimekuwa ngumu nowadays kwa ajili ya ujio wa simu za mkononi zenye camera .
Uwezo simu wa kuzi modify na ku share picha bila kuhitaji computer na kukaa na charge muda mrefu ukilinganisha na camera ndio umeua kbs soko la camera na biashara za picha mitaani ,kila mtu ana jitahidi amiliki simu yenye camera nzuri ili I save kwa mawasiliano na fun.
Na sio tu upande wa camera, vifaa vya music km discman ,Walkman au Ipod soko limeshuka kwa ajili ya hz simu .
Ushauri wangu kwa hiyo offer ya 100k chukua camera kwa enzi hizi sio deal.
Nilitaka kusema hata mie aisee maana long time nimetembea sana na camera kiunoni kwa ajili ya kazi na camera kama hiyo ilikuwa inafika mpaka laki 3 ama 4 lakini siku hizi mmhh ni balaa kupata mteja...ila wadau wapo watakuja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom