yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,901
- 4,128
- Thread starter
- #21
Kamera ipo wadau
Kweli kabisa mkuu. Ila biashara kwa hqpa Jf ni changqmoto. Hata anayetoa offer ya 100K ukimwendea PM hayuko serious.Sikukatishi tamaa mkuu just wazo tu,biashara za camera as camera(domestic ) zimekuwa ngumu nowadays kwa ajili ya ujio wa simu za mkononi zenye camera .
Uwezo simu wa kuzi modify na ku share picha bila kuhitaji computer na kukaa na charge muda mrefu ukilinganisha na camera ndio umeua kbs soko la camera na biashara za picha mitaani ,kila mtu ana jitahidi amiliki simu yenye camera nzuri ili I save kwa mawasiliano na fun.
Na sio tu upande wa camera, vifaa vya music km discman ,Walkman au Ipod soko limeshuka kwa ajili ya hz simu .
Ushauri wangu kwa hiyo offer ya 100k chukua camera kwa enzi hizi sio deal.
Ooh kumbe hawako serious nilidhani ni wewe ndio unakataa hiyo pesa.Kweli kabisa mkuu. Ila biashara kwa hqpa Jf ni changqmoto. Hata anayetoa offer ya 100K ukimwendea PM hayuko serious.
80??Kama inavyoonekana kwenye picha.
Camera mpya.
Kioo cha nyuma na mbele kwa wapenda selfie.
14.2 megapixel.
Bei ya mwisho 120,000
0743527967
View attachment 723851View attachment 723852View attachment 723853
Picha zaidi ziko post #14
Hapana price sio fixed mkuuOoh kumbe hawako serious nilidhani ni wewe ndio unakataa hiyo pesa.
Ongeza kidogo mkuu. Camera nzur sana80??
Ukifika 80 tufanye biznes mkuuOngeza kidogo mkuu. Camera nzur sana
Kweli kabisa mkuu. Ila biashara kwa hqpa Jf ni changqmoto. Hata anayetoa offer ya 100K ukimwendea PM hayuko serious.

dah Jey efu bwanaIna mambo. Japo nilishafanikiwa biashara nyingi humu.dah Jey efu bwana
Mkuu nimeku PM.. angaliaNdo uwezo wangu mkuu nime appreciate uzuri mkuu
Canon D 3200 ni sh ngao kaka kwako??Kwa wanaohitaji camera za Canon aina yeyote anicheck na lens za aina yeyote
Unamaanisha nikon?nikon D3200 bila lens laki 7 na yenye laki 8Canon D 3200 ni sh ngao kaka kwako??
Unamaanisha nikon?nikon D3200 bila lens laki 7 na yenye laki 8Canon D 3200 ni sh ngao kaka kwako??