๐—ฆ๐—ฎ๐—บ๐˜€๐˜‚๐—ป๐—ด ๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—ธ๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐—ณ๐—ฎ๐—น๐—บ๐—ฒ ๐˜„๐—ฎ ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฟ๐—ผ๐—ถ๐—ฑ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,321
Reaction score
2,693


Tumeona Muonekano mpya wa App ya phone call kwa Watumiaji wa simu za Google pixel na Android kwq ujumla ambapo kuna maboresho mapya wamefanya kuhusu app ya phone call.

Ni kweli inaonekana nzuri japo kuna changamoto kadhaa mfano button ya kukatia simu ๐Ÿ˜Œ ni kubwa hilo mpaka basi lakini kiuwalisia ni Mabadiliko mazuri wameyafanya Google kwa Watumiaji wa simu za Android.

Samsung


Google


Lakini Samsung hataendelea kuwa mfalme wa vifaa vya android ulimwenguni ๐Ÿ‘‹. Unasemaje kuhusu hili tuachie maoni yako? ๐Ÿ˜ Usilete ushabiki toa maoni tu.
 
UI ya android sijaielewa kabisa. Li button limegusana na kile kinstari cha chini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ