wanatamani
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 415
- 145
Removed
Anawezaje fanya yote hayo mkuuNa tambua simu.inapokuwa na samsung account mwenye account yake anauwezo wa kusoma.meseji zote kuona.nambati zako zote (contacs) anauwezo wa kuifunga usitumie tena anauwezo wa kuangalia mpaka document zako zote kwenye simu akiwa popote duniani