Sun Wukong
JF-Expert Member
- Jul 30, 2022
- 1,152
- 2,300
Wakuu nauza simu hiyo gb64 ram 3gb used nimeitumia miezi kadhaa
Sio ya wizi wala mkopo?Wakuu nauza simu hiyo gb64 ram 3gb used nimeitumia miezi kadhaa
Sio ya wizi wala mkopo?
Hapana chezea Wabongo a.k.a WabingoWabongo sio watu wazuri
Hawachelewi kukuuzia simu ya mkopo ukashangaa imezimwa hewani na mdai
Hapana nilinunua refub toka ukSio ya wizi wala mkopo?
Sio kweli mkuuWabongo sio watu wazuri
Hawachelewi kukuuzia simu ya mkopo ukashangaa imezimwa hewani na mdai
Niliipost hapa Phone4Sale - Naunza simu yangu aina ya Samsung Galaxy 04eTu picha ndo habari ya mji axee
Ila wewe akili zakoPicha?
Sumg 04e refub UK? Unajua unachoongea kweli?Hapana nilinunua refub toka uk
Nimekufata PM na nimekutumia pichaUnapatikana wapi no zako simu picha ya simu ipo wapi mkuu nataka kumchukulia mdogo wangu hiyo kama upo dar es salaam tufanye hiyo biashara
Kausha basi ahahahahahIla wewe akili zako
Hapana sijui nijuzeSam
Sumg 04e refub UK? Unajua unachoongea kweli?
Ngoja nicheki ndugu yanguNimekufata PM na nimekutumia picha
Niliipost hapa Phone4Sale - Naunza simu yangu aina ya Samsung Galaxy 04eBila picha... Hiyo simu ni ya wizi au mkopo
SawaKausha basi ahahahahah