Samsung A02 Zimetulia

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2021
Posts
549
Reaction score
562
Ukiachana na matoleo mengine hii simu ya samsung A02 ipo vyema

Chaji inakaa sana na chaji betri 5000mah
Upande wa kamera ni ni kawaida iko quality
Peformance yake ni nzuri ipo fasta mpaka internet
Storage gb 32
android 10

Pamoja na mambo yote ila napenda skmu za google pixel sema uchumi umetaiti
 
Week iliyopita tu hapa niliuza Pixel 3a yangu 450,000. Ilikua simu nzuri sana kwa bei rahisi tu
 
Ina processor mbovu ya zamani kama sijakosea
 
Hizi simu kiukweli zina specs nzuri ila sijapenda design zake kwakweli
Mm kwangu iko fresh tu. Sipendi ma notch ya simu mengi sikuhz. Bora punch hole camera ila hzo notch sizipendi kanisa. Design yake ipo simple sana and clean
 
Screen- PLS IPS
SoC - Mediatek
Hakuna kitu hapo ni Tecno iliyochangamka tu.
Samsung A series simu angalau ni kuanzia A50 kwenda juu.
 
Mediatek ni nn?
Ni aina ya ubongo wa simu simu, ndo inayoratibu ushirikiano na utendaji wa vifaa vingne vya simu kama camera, memory, screen n.k
Kumbuka ubora wa wanafunzi darasani unapangwa kulingana na ubongo wao[emoji16], kwa elimu zaidi tafuta nyuzi za wataalamu humu ndani wapo.
 

Nilivyoona tu ni Mediatek hata sijaifuatilia zaidi[emoji16][emoji16]
 
kwahyo iyo ndo kama chip yake. so ni tofauti sana na hiz za exonoys
 
Mm kwangu iko fresh tu. Sipendi ma notch ya simu mengi sikuhz. Bora punch hole camera ila hzo notch sizipendi kanisa. Design yake ipo simple sana and cleanView attachment 1744414
pixel kwa design ni utopolo kabisa.

hili design tumeliacba kwenye s8,na s9.
afadhali pixel 5 kaacha ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ