SAMSUNG 32 inch Flat screen on sale

You are Wrong again!!! aaaahhhh!!!

Kwa Mujibu wa Kindimbajuu na kwa mujibu wa Big, soma hapo chini

ni hivi, hao wafanyakazi wa hapo wanapewa nafasi ya kununua vitu kwa punguzo zaidi ya 50%, lakini mshahara wao ni mdogo sana , hawawezi kununua. sasa wanachokifanya wanaposema wanakutolea kwa laki nne na nusu,wananunua kama wao, ni kuwa wanatoa na risiti, ambayo huyo anaekutokea ndo hupewa jina lake- ni kama yeye ndo ananunua, hivyo anapata hiyo punguzo. ni shida zina wafanya wafanye hivyo, kwani wao posho zao ni kama yangu - mambo ya kibakuli

Pumba hizo.
 
Hata Mimi nasubiri Maelekezo ya sehemu lilipo hilo duka la Freedom Electronics lakini naona Kiiiiiiiimyaaaaa!!!

Nadhani hili duka Freedom Electronics lipo along Samora Avenue ....karibu na JM Mall, opposite na tawi fulani la NBC bank. Pia wana duka jingine kama nakumbuka along Zanaki street kwenye kona ya kuelekea Kisutu Sec School na ule mtaa wenye misikiti ya wahindi.
 
Mkuu huko freedom ni wapi asee??
Mkuu majibu hapo juu kwenye bluu kutoka kwa deny_all
 
Nadhani hili duka Freedom Electronics lipo along Samora Avenue ....karibu na JM Mall, opposite na tawi fulani la NBC bank. Pia wana duka jingine kama nakumbuka along Zanaki street kwenye kona ya kuelekea Kisutu Sec School na ule mtaa wenye misikiti ya wahindi.
Asante sana Mkuu kwa Maelekezo,Cheers!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom