SAMSUNG 32 inch Flat screen on sale

SAMSUNG 32 inch Flat screen on sale

Bei kwa Samsung dealer ni 950,000/- ukienda na cash inapungua mpaka 880,000/- sasa mbona unataka kutuumiza mkuu ?
 
Mkuu hiyo kitu freedom electronics wanauza 700.000 mpya na 3years warranty.
Mkuu tulienda na mshikaji kununua hapo Freedom Electronics kwa bei ya 700,000 tukapewa na warranty ya 3 years huyu jamaa naona ameweka na cha juu.

Bei kwa Samsung dealer ni 950,000/- ukienda na cash inapungua mpaka 880,000/- sasa mbona unataka kutuumiza mkuu ?
Mkuu hata hao dealer wa Samsung bado wako juu nenda Freedom Electronics utapata 32 inch kwa 700,000 ikiwa ni 3D bei ndio inaongezeka kidogo
 
Inaonekana ww uliuziwa Mlimani city kwa 1.5m sasa unataka uiuze kwa bei ya chini kidogo,hiyo ni bei ya lcd 3d hd iliyotumika kidogo au LED tv iliyotumika kidogo.
 
Mlimani City unawekewa na bei ya pango juu maana hiyo hiyo TV unayouziwa Mlimani City ukienda sehemu zingine town unauziwa kwa bei ya chini ambapo difference unaweza kukuta 300,000 ambayo unakuwa umesave vizuri sana
 
Mkuu tulienda na mshikaji kununua hapo Freedom Electronics kwa bei ya 700,000 tukapewa na warranty ya 3 years huyu jamaa naona ameweka na cha juu.

Mkuu hata hao dealer wa Samsung bado wako juu nenda Freedom Electronics utapata 32 inch kwa 700,000 ikiwa ni 3D bei ndio inaongezeka kidogo
Hilo duka la Freedom electronics lipo mtaa gani au ndio lile la pale Kisutu/Zanaki ukitoke Elia complex
 
Quality vipi?maana bei inaweza kuwa ndogo ila quality hakuna. Hilo nalo ni jambo la msingi na kuzingatia.
 
haya mavitu bana.. ukipata mtu wa kwenda dubai anakuletea kwa dola 280 hiyo kitu
 
Mlimani City unawekewa na bei ya pango juu maana hiyo hiyo TV unayouziwa Mlimani City ukienda sehemu zingine town unauziwa kwa bei ya chini ambapo difference unaweza kukuta 300,000 ambayo unakuwa umesave vizuri sana

Jamani mmetaja Mlimani City, eeeh wafanyakazi ni wizi pale, hao jamaa naona wanaongeza bei kufidia wanavyoibiwa.

Kuna siku nilikuwa natazama home theater, bei yao ilikuwa kama 750K, kidogo si kaja mhudumu wa pale, akanambia "mama umeipenda hii?" nikamwambia bajeti yangu ndogo, akanambia "bajeti yako ngapi mama", nikamwambia aaah wee wacha tu, akanambia "mama mie ntakutolea hii kwa laki nne". Nikamwambia ntarudi. Ndio kimoja, niliondoka mbio nikifikiri ni tapeli anataka kuniingiza mjini, heee, kufika nyumbani si nnhadithia nimekutana na tapeli Mlimani city anajifanya mhudumu, nikawaeleza kile kisa, wakanambia hiyo ndio kazi yao pale, wanaiba wanakuletea mpaka kwenye gari.

Sasa Kwa hayo mnategemea bei ziwe kama mjini? Hii nchi yetu ina matatizo makubwa sana aliyotuachia nyerere.
 
Kwa 1M ukp juu sana,shusha bei tunaweza fikiria kununu nyingi hizo ni 700k even less than that
 
Jamani mmetaja Mlimani City, eeeh wafanyakazi ni wizi pale, hao jamaa naona wanaongeza bei kufidia wanavyoibiwa.

Kuna siku nilikuwa natazama home theater, bei yao ilikuwa kama 750K, kidogo si kaja mhudumu wa pale, akanambia "mama umeipenda hii?" nikamwambia bajeti yangu ndogo, akanambia "bajeti yako ngapi mama", nikamwambia aaah wee wacha tu, akanambia "mama mie ntakutolea hii kwa laki nne". Nikamwambia ntarudi. Ndio kimoja, niliondoka mbio nikifikiri ni tapeli anataka kuniingiza mjini, heee, kufika nyumbani si nnhadithia nimekutana na tapeli Mlimani city anajifanya mhudumu, nikawaeleza kile kisa, wakanambia hiyo ndio kazi yao pale, wanaiba wanakuletea mpaka kwenye gari.

Sasa Kwa hayo mnategemea bei ziwe kama mjini? Hii nchi yetu ina matatizo makubwa sana aliyotuachia nyerere.

ni hivi, hao wafanyakazi wa hapo wanapewa nafasi ya kununua vitu kwa punguzo zaidi ya 50%, lakini mshahara wao ni mdogo sana , hawawezi kununua. sasa wanachokifanya wanaposema wanakutolea kwa laki nne na nusu,wananunua kama wao, ni kuwa wanatoa na risiti, ambayo huyo anaekutokea ndo hupewa jina lake- ni kama yeye ndo ananunua, hivyo anapata hiyo punguzo. ni shida zina wafanya wafanye hivyo, kwani wao posho zao ni kama yangu - mambo ya kibakuli
 
toeni specifications za hiyo samsung 32' maana tofauti ya bei ipo likely kuendana na sifa za tv husika. Tusilaumu bei ya 1m, kwa sababu dealer anauza 950k, na hiyo ya laki 7, kumbe ni tv tofauti kabisa ila zote ni samsung 32'
 
Jamani mmetaja Mlimani City, eeeh wafanyakazi ni wizi pale, hao jamaa naona wanaongeza bei kufidia wanavyoibiwa.

Kuna siku nilikuwa natazama home theater, bei yao ilikuwa kama 750K, kidogo si kaja mhudumu wa pale, akanambia "mama umeipenda hii?" nikamwambia bajeti yangu ndogo, akanambia "bajeti yako ngapi mama", nikamwambia aaah wee wacha tu, akanambia "mama mie ntakutolea hii kwa laki nne". Nikamwambia ntarudi. Ndio kimoja, niliondoka mbio nikifikiri ni tapeli anataka kuniingiza mjini, heee, kufika nyumbani si nnhadithia nimekutana na tapeli Mlimani city anajifanya mhudumu, nikawaeleza kile kisa, wakanambia hiyo ndio kazi yao pale, wanaiba wanakuletea mpaka kwenye gari.

Sasa Kwa hayo mnategemea bei ziwe kama mjini? Hii nchi yetu ina matatizo makubwa sana aliyotuachia nyerere.

You are Wrong again!!! aaaahhhh!!!

Kwa Mujibu wa Kindimbajuu na kwa mujibu wa Big, soma hapo chini

ni hivi, hao wafanyakazi wa hapo wanapewa nafasi ya kununua vitu kwa punguzo zaidi ya 50%, lakini mshahara wao ni mdogo sana , hawawezi kununua. sasa wanachokifanya wanaposema wanakutolea kwa laki nne na nusu,wananunua kama wao, ni kuwa wanatoa na risiti, ambayo huyo anaekutokea ndo hupewa jina lake- ni kama yeye ndo ananunua, hivyo anapata hiyo punguzo. ni shida zina wafanya wafanye hivyo, kwani wao posho zao ni kama yangu - mambo ya kibakuli
 
Mkuu tulienda na mshikaji kununua hapo Freedom Electronics kwa bei ya 700,000 tukapewa na warranty ya 3 years huyu jamaa naona ameweka na cha juu.

Mkuu hata hao dealer wa Samsung bado wako juu nenda Freedom Electronics utapata 32 inch kwa 700,000 ikiwa ni 3D bei ndio inaongezeka kidogo

Wako wapi Freedom electronics?
 
Ok, heard you guys, lets do business for 800,000Tsh.
 
Jamani hivi vitu tuwe makini kidogo usione tu kwa sababu inauzwa bei rahisi inategemea na features zilizo ndani kama resolution ni ngapi? frequency kama 50Hz, 100Hz nk, HDMI, USB pots ziko ngap, kwa mfano kuna full HD 1080p usitegemee bei yake itakuwa sawa na 720p, wengi tunanunua vitu bila kuangalia features zilizomo ndani. Kila mtu aweke hapa features zake tulinganishe bei sio mnalopoka tu hapa na kujiona wajanja. Wengine tumekariri tu LCD hata ukienda LED TV bado ziko tofauti na bei tofauti.

Good condition,HD, Tsh 1M ,interested buyer just PM
 
Back
Top Bottom