Samson Mwigamba: CHADEMA ndumilakuwili

Avumilie njaa tu maana sasa hana pa kushika
 
CHADEMA walisema ACT imeanzishwa na Lowasa ili akikatwa CCM akimbilie huko so ni kwel?

Hilo la Lowassa kuanzisha ACT silijui but kama kusoma hujui hivi hata picha tu kuiangalia nako huwezi!? Kulitolewa ahadi ya kutoteua mtu yoyote toka upinzani kwenye serikali hi na kweli sijaona mtu yeyote toka CUF ya maalimu Seif wala Chadema but ACT mbona wapo kibao tu, hata hilo nalo hadi mtu akwambie!?

Nina hakika act sio chama cha upinzani na hakija wahi kua chama cha upinzani. Kwenye hizo comment za Mwigamba, umeona hata sehemu moja anayo mpinga ZZK!? Kama yes then yupo sahihi kuhama toka act to CCM but if No, kwanini ahame act ili hali anaridhika na utendaji wa zzk!? Kama huna jibu then birds of the same feathers fly together, simple as that
 
Subiri uje uambiwe na Mbowe ndio utajua kama mlivyoambiwa mzungushe mikono kwa fisadi mkazungusha na mwaka 2020 mjiandae kuzungusha viuno
 
Subiri uje uambiwe na Mbowe ndio utajua kama mlivyoambiwa mzungushe mikono kwa fisadi mkazungusha na mwaka 2020 mjiandae kuzungusha viuno
Achana na utabiri, jikite kwenye maswali nilio kuuliza; we nani kakwambia mi team Mbowe!? Nakula kwa jasho langu, sitegemei chochote from politics ili nile au nisomeshe wanangu. Jibu maswali, acha kubadiri topic.
 
hapo umeona kuna swali kwel?Hizo si taarab tyu
 
Lazma muwe na akiba ya maneno mara lowasa fisadi mara karibu kamanda mara sumaye mwizi wa mashamba leo sumaye kamanda mara Nyalandu kajimilikisha vitaru kinyume na taratibu leo nyalandu kamanda
 
Kama wanaccm wamenyofolewa ufaham basi wanaojiunga na Chadema huwa ni makopo matupu kwakua walivyokuwa ccm walishanyolewa ufahamu
 
hata yeye ndi ndumilakuwili tena anatangatanga kwa ajili ya tumbo lake nyaa imehamia kichwani
 
Raia walikuwa hawakujui ila kwa kupitia hivyo vyama sasa wanakujua kwa hiyo sio vibaya wengine wakapitia njia uliyoipitia. Karibu sasa ccm tupo na shida zetu nyingi na raha kidogo ambazo kwa Afrika ni za kawaida
 
Lazma muwe na akiba ya maneno mara lowasa fisadi mara karibu kamanda mara sumaye mwizi wa mashamba leo sumaye kamanda mara Nyalandu kajimilikisha vitaru kinyume na taratibu leo nyalandu kamanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…