Samson Mwigamba: CHADEMA kuna ubaguzi

Mwigamba alikuwa mtu mwema kabla hawajamnunua CCM kwa sababu ya tamaa zake mwenyewe...aungane na kina Mwampamba na Juliana kuendelea kukojolea matandiko aliyoyalalia akiwa mtoto...labda aliahidiwa ukuu wa wilaya,who knows!
 

I hope you have accomplished your assignment at Chadema and that is gonna cost people of this land 'cos ccm is a party of a few well placed indviduals
 
Mwigamba aende ccm pasipo na ubaguzi akapambane na ukoo wa mwinyi,nyerere,kawawa,karume,nnauye,makamba,malecela,kikwete

samahani ccm siyo yawanafamilia bwana kama ilivyo chadema kama hutavaa lile limugwanda la mzee malehemu mbowe huna chako humo. ccm niyawanaccm na watanzania kwa ujumla tafadhali acha huo utani.
 
Nimegundua kitu kimoja leo kumbe kuna wanachama na washabiki wa vyama,Washabiki kazi yako nikusifia chochote kinachosemwa na viongozi wao hata kama ni cha hovyo,WanachaDema badiliken hata kama mtu unampenda kias gan lazima ukubali kumkosoa Mbowe na Slaa si Viongozi wa milele.
 
hapo hakuna afadhali mkuu, hiyo jamii inasifa inayofahamika vizuri inapokuja kwenye maswala ya fedha
haswaaaa!! wanachapa kazi, kuanzia mama ntilie, muuza karanga za kapu, muuza pakti la sigara, muuza glasi ya maji mpaka wamiliki wa kampuni kubwa za kibiashara, mpaka ma lecturers wa vyuo vikuu. wanatafta fweza kwa kuchapa kaz, sasa wee kaa hapa tu unakenua mapengo kaa zoba uone feza itakujia vip. wenzako hao kama ni pesa walianza kuijua na kuitafuta hata kabla ya uhuru. sasa wewe unaibuka leo unataka uuze sembe haraka haraka eti ili nawe uwafikie...kuna stage zake baba, maendeleo ni process
 
Salamu za dhati ya moyo wangu kwa kila mbwiga asiyeipenda chadema. Ushuzi wowote wa ccm hautafanikiwa. Watu wote wenye akili zilizotimia wanafahamu kuwa hivi sasa ccm pale lumumba hawalali usingizi wakijaribu kila mbinu ya kuuz upinzani, ooooh sorry i mean CHADEMA. Moja ya mbinu wanazofanya ni kununua viongozi njaa na kwa bahati mbaya wote wanagundulika na kutimuliwa kirahisi. Zote hizo ni mbio za sakafuni.
 

Ccm inakufa aisee,mchukueni mwigamba awasaidie
 
Sumu ya CHADEMA ni mtu anayetaka UWAZI.

Sunu ya CHADEMa ni pale unapokuwa MSALITI. Lazima ubaguliwe tu. Hapo ndio ninapo ipendea CHADEMA. Hakuna cha u-MWENZETU pale napo fanya usaliti.

Watu tuna hasira na akina Riz alafu unaleta upuuzi!! Hatukuachi ng'o. Lazima tuku shughulikie bila kupoteza muda.
 
Hivi nani ameshawahi kusikia mchaga yeyote ndani ya Chadema kafukuzwa au amepewa adhabu yeyote na chama au hawakosei hawa jamaa?
 
Mbowe kaoa mtoto wa mfalme Mtei! Hivyo hapaswi kuulizwa.

Mtei mwenyewe busara zero!
 
Hivi nani ameshawahi kusikia mchaga yeyote ndani ya Chadema kafukuzwa au amepewa adhabu yeyote na chama au hawakosei hawa jamaa?
bila shaka kwa sababu wao pia ni wanadamu ni wazi huwa wanakosea pia, tofauti ni kwamba wao HAWASALITI na hawahongeki (kirahisi). ukishakuwa msaliti CDM watakunyonya mav. tu, mchukueni huko mkauze naye sembe. umeshaambiwa tuna hasira na kina Ritz halafu wewe na huyo mwigamba wako mnatuletea fyoka??!! no wonder he is named Mwi_GAMBA
 
Mwenyekiti wangu wa CDM Arusha alikua sahihi kabisa kutupa a b c za ulaghai unaoendelea ktk chama chetu. Kama vidole viwili vilimaanisha Mbowe na Slaa basi wamegonga mwamba. Vipindi vyao viwili vimeisha. Watupishe wengine nasi tuonyeshe uwezo wetu kwenye nyadhifa hizo. Kama Kamanda Slaa kashazeeka na kufubaa....sio mwili tu bali na akili pia.
Peopleeeeeeeeeeeeeeeee
 
Eti mtuchangulie Msaliti Zitto uenyekiti, hatufanyi uchaguzi hadi 2016, kama hamtaki muondoke tu. Hii mmefail tena
 
Kwanza andikeni katiba inayotokana na wanachama, sio katiba ya kukidhi mahitaji ya Mtei.

Mtei alimuandaa binti yake Lilian kuwa Mwenyekiti wa Chadema baada ya Mbowe. Binti huyo alipokataa ikabidi Mtei aagize kipengele cha kuweka ukomo wa mihula ya uongozi kiondolewe ili Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti.

Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…