samsang galaxy star yangu haitumi wala kupokea sms, application not found

samsang galaxy star yangu haitumi wala kupokea sms, application not found

MENISON

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
726
Reaction score
623
Wadau hivi majuzi nimenunua simu lakini baada ya siku 2 najikuta siwezi kutuma sms inanandika application not found
nofanyeje?kwenye screen kidude cha sms sikioni
 
Sio mchina kweli? Nina doubt na ilo jina "Samsang".

Tufanye it's Samsung, just typping errors.

Ok. Letry try this.

Vipi ukiiformat/reset uanze na.upya mkali?

Au twende plan.B.

Nenda Google Play, download "Handcent SMS" hii ni application ya kutuma na kupokea sms za kawaida.

Rudisha feedback ukishindwa.
 
ajaribu z 1st option. it worked to me too!
 
Back
Top Bottom