Sample ya form ya usajili wa mchezaji wa mpira wa miguu

Meja M

JF-Expert Member
Oct 4, 2016
628
560
Wakuu poleni na mihangaiko ya siku nzima..!! Msaada kwa aliye na sample ya form ya usajili wa mchezaji wa mpira wa miguu, naomba anisaidie..!!
ASANTENI !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ligi gani? TPL forms zao ni tofauti na zile za NDONDO! Na pia ni Tofauti na zile za KOMBE LA MBUZI ama SHUKURU KAWAMBWA CUP! Mm ninazo Forms za usahili za Kombe la MAPINDUZI

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sawa ,nimetazama ktk makabrasha yangu ,nimekuta kadi ya mchezaji ligi daraja la tatu kanda ya kinondoni , fomu nimeikosa



MTC | 101|
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom