Goli ya kwanza KMC against Yanga match fixing imefanyika

Dabil

JF-Expert Member
Sep 30, 2021
5,885
13,263
Azam media wameweka magoli yote mitandaoni, nimepata wasaa wa kuangalia goli la Yanga dk ya kwanza kilichofanyika ni match fixing ya wazi.

Angalia video kwa umakini na kwa slow motion, beki wa KMC anamrudishia mpira kipa wake, kipa badala ya kupiga mpira kwa nguvu mbele anampa mchezaji wa Yanga vizuri kabisa halafu anasimama,mchezaji wa Yanga anapiga shuti beki mwingine anaokoa, bahati mbaya unamkuta tena mchezaji mwingine wa Yanga kipa anajifanya anaokoa kwa kuutenga kwa Mudhathir wakati huo yule beki wa mwanzoni aliyemrudishia anakimbia anajifanya anablock mpira ila anauruka kijanja mpira unapita alipo golikipa naye anasimama tu akiungalia halafu wanajifanya wanasikitika kama movie za Sinema Zetu.

Huo mchezo ukaendelea tena kwa mda Adrew Vicent, Kipa na beki mmoja pale nyuma wakisuka mipango thabiti Yanga kuongeza magoli, half time KMC wakashtukia mchezo wakamtoa kipa.

Inashangaza sana mpinzani ni mbovu na bado mnanunua game.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Azam media wameweka magoli yote mitandaoni,nimepata wasaa wa kuangalia goli la Yanga dk ya kwanza kilichofanyika ni match fixing ya wazi.

Angalia video kwa umakini na kwa slow motion,beki wa KMC anamrudishia mpira kipa wake,kipa badala ya kupiga mpira kwa nguvu mbele anampa mchezaji wa Yanga vizuri kabisa halafu anasimama,mchezaji wa Yanga anapiga shuti beki mwingine anaokoa, bahati mbaya unamkuta tena mchezaji mwingine wa Yanga kipa anajifanya anaokoa kwa kuutenga kwa Mudhathir wakati huo yule beki wa mwanzoni aliyemrudishia anakimbia anajifanya anablock mpira ila anauruka kijanja na goli linaingia.

Huo mchezo ukaendelea tena kwa mda Adrew Vicent ,Kipa na beki mmoja pale nyuma wakisuka mipango thabiti Yanga kuongeza magoli, half time KMC wakashtukia mchezo wakamtoa kipa.

Inashangaza sana mpinzani ni mbovu na bado mnanunua game.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe una akili ndogo sana ya kufikiria, sasa kama ilikuwa ni match fixing huyo beki alikuwa anahaja gani ya kuangaika kuokoa? Na kipa nae alikuwa na sababu gani ya kuangaika kuokoa ile shuti? Si angeruka pembeni tu au angesimama tu kuungalia mpira kama alivyofanya yule kipa wa Tabora dhidi ya Simba? Mpira wa KMC ndio ule ule wa kujiamini kuanzia kwa kipa na kwenda mbele kama uliangalia mechi ya Simba vs KMC utaona KMC ni kawaida kurudisha mpira kwa kipa na kuanzisha mashambulizi tokea golini kwao. Kama lengo ni kuwapa Yanga goli basi walikuwa hawana sababu ya kupambana kuokoa kwa kuwango kikubwa vile.
 
Wewe una akili ndogo sana ya kufikiria, sasa kama ilikuwa ni match fixing huyo beki alikuwa anahaja gani ya kuangaika kuokoa? Na kipa nae alikuwa na sababu gani ya kuangaika kuokoa ile shuti? Si angeruka pembeni tu au angesimama tu kuungalia mpira kama alivyofanya yule kipa wa Tabora dhidi ya Simba? Mpira wa KMC ndio ule ule wa kujiamini kuanzia kwa kipa na kwenda mbele kama uliangalia mechi ya Simba vs KMC utaona KMC ni kawaida kurudisha mpira kwa kipa na kuanzisha mashambulizi tokea golini kwao. Kama lengo ni kuwapa Yanga basi walikuwa hawana sababu ya kupambana kuokoa kwa kuwango kikubwa vile
Kilichokuwa kinafanywa na kina Adrew Vicent na kipa haiihitaji akili ya roketi kujua kinachoendelea,match fixing lazima maigizo yafanyike ili isijulikane,aruke pembeni ionekana kalipwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Azam media wameweka magoli yote mitandaoni, nimepata wasaa wa kuangalia goli la Yanga dk ya kwanza kilichofanyika ni match fixing ya wazi.

Angalia video kwa umakini na kwa slow motion, beki wa KMC anamrudishia mpira kipa wake, kipa badala ya kupiga mpira kwa nguvu mbele anampa mchezaji wa Yanga vizuri kabisa halafu anasimama,mchezaji wa Yanga anapiga shuti beki mwingine anaokoa, bahati mbaya unamkuta tena mchezaji mwingine wa Yanga kipa anajifanya anaokoa kwa kuutenga kwa Mudhathir wakati huo yule beki wa mwanzoni aliyemrudishia anakimbia anajifanya anablock mpira ila anauruka kijanja mpira unapita alipo golikipa naye anasimama tu akiungalia halafu wanajifanya wanasikitika kama movie za Sinema Zetu.

Huo mchezo ukaendelea tena kwa mda Adrew Vicent, Kipa na beki mmoja pale nyuma wakisuka mipango thabiti Yanga kuongeza magoli, half time KMC wakashtukia mchezo wakamtoa kipa.

Inashangaza sana mpinzani ni mbovu na bado mnanunua game.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hivyo hiyo ndiyo match fixing au umejikuta tu una kiu ya kutumia hayo maneno 'Match Fixing' ikabidi uyatungie story na sentence?
 
Back
Top Bottom