Sample ya barua ya talaka

Angalia muvi za majuto ndo huwa anatoaga taraka. Huwa wanasemaga eti ukniona kwny daladala we ushuke na mwbembwe zingne
 
Sheria ya Ndoa na Talaka inasema talaka inayotambulika kisheria ni ile iliyotolewa kupitia institution husika ambayo ni Mahakama. BAKWATA na sijui makanisani vinahusika na kupatanisha/kusuluhisha migogoro ya ndoa na sio kutoa talaka.
 
WATU WANACHEZA NA TALAKA(red card) WANDUNGU USIOMBE YAKUKUTE,NI Nooooooooma.
 
inabid tuition hii iwe inatolewa ktk "kitchen party" ya wanaume
 
Dah, hizi talaka kiboko, hasa hiyo ya tatu lol!
 
Hahahahaha! Hiyo ya tatu imenifurahisha mbuzi wa mjini kula hadi mifuko ya rambo du!
 
Ndugu wana jf....naombeni msaada wenu kuhusu kuandika barua ya talaka. Hua nasikia tu talaka tatu. Zinaandikwaje?...msifanye jokes.....nipo serious
ulipaswa uende kwa shekhe aliyewafungisha ndoa akuelekeze.
 
Jamani mi ni Mkristo, sio mwislamu. Bakwata hapanihusu...wala kwa shekh.
 

Nimecheka mpaka machozi yamenitoka...Hiyo Taraka ya Tatu
 
Ndugu wana jf....naombeni msaada wenu kuhusu kuandika barua ya talaka. Hua nasikia tu talaka tatu. Zinaandikwaje?...msifanye jokes.....nipo serious

Pole sana mkuu, ndoa ndoano.mimi sina experience na hayo mambo alafu mimi hapa ni mgeni nimetoka London jana.
 

Hahahahaha, eti mchachu kama ndimu iliyochacha, duh u made my day.
 

Mbona hatari hii.... Kumbe ndio maana siku hizi supu ya mbuzi hata sio nzuri kumbe wanakula mifuko ya rambo... Na maboksi ya juisi za bakhresa..... Alaaaaaaah
 
Ndugu wana jf....naombeni msaada wenu kuhusu kuandika barua ya talaka. Hua nasikia tu talaka tatu. Zinaandikwaje?...msifanye jokes.....nipo serious
Andika talaka.
Nenda stationary ukatoe copy ziwe tatu, hapo utakua umemaliza mchezo, na hizo ndio talaka 3.

Matumizi yake ni kua moja atasaini na kukuachia wewe, moja ya kwake na ya mwisho atawapa wazazi/walezi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…