SAMPLE SIZE

zigi 01

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Posts
325
Reaction score
198
Habari
Naomba kujua ni vigezo gani nivitumie kupata sample size of my study?
Mfano: Nahitaji kujua idadi ya wamama wanaotumia uzazi wa mpango kwa jiji la Dar Es Salaam au Nataka kujua uelewa wa wananchi wa Mbeya kuhusu matumizi sahihi ya dawa za Malaria au Natakujua matatizo gani hupelekea wanafunzi kushindwa kufanya vizuri katika mitihani yao ya kidato cha nne katika shule X je nitatumia formula gani kupata number of participants?
 
Kupo na formula jaribu kugoogle, mimi siikumbuki.
 
Katika vitu vinavyo changanya ni sample size calculation. Hivyo kama wewe ni mwanafunzi muone supervisor wako vinginevyo mtafute stastician.
 
Study yako ni ya namna gani (qualitative au mixed yaani qualitative na quantitative)?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…