Samoa Sulha Hasanoo

Samoa Sulha Hasanoo

Bado naamini Tz kwa sasa hakuna ataye tawala miaka 20 huenda hata 8 asifikishe
 
Kwani Kuna shido
Madaraka ni matamo
Mtazidi kupoteo
View attachment 3083818

Mshana Jr nakuomba Pm tafadhali nina dharura na wewe​

Karibu
Bila ya sisi wananchi kusimama imara na kushikamana , uonevu huu hautaisha.
Siafu wanatushinda kwa umoja?!!. Tuamke, tuseme nooo, inatosha.
View attachment 3083847
Solidarity forever
siezi kukuandikia msg mkuu , waeza ni pm kama hutojali
ok ok sawa
Ili hayo yote yafikie tamati na hao maharamia kuondoka inabidi ile nchi ya kaskazini inayojipaga mlima wetu itupe watu wake waje wakae humu.Sisi wenyewe hatuwezi,wametuharibu sana na kuchukua uwezo wetu wote.

View: https://x.com/Advocate_Kisabo/status/1830220871694479647?t=cMTD3bFk_RSagutijhcXJQ&s=19
Bado naamini Tz kwa sasa hakuna ataye tawala miaka 20 huenda hata 8 asifikishe

View: https://x.com/Advocate_Kisabo/status/1830220871694479647?t=cMTD3bFk_RSagutijhcXJQ&s=19
 
20240901_190202.jpg
 
Siyo kwamba naunga mkono,ila vijana jikiteni kusaka mkate wenu,jengeni maisha, nikikumbuka 1995 na yule mangi kumbe alikua kachero,tukambeba mabegani..hao hawatoki hapo kivyovyote,mwisho wa siku watabadili chupa tu lakini konyagi ileile
 
Vijana: Mama mbona umechoka ?.
Mama: Silali wanangu.

Vijana: Kwanini hulalli Mama, Nini shida ?
Mama: Mshana na wenzie.
Vijana: Sawa Mama utalala Sana siku zijazo.

Mwanzo wa shida
 
Nyakati zinabadilika lakini
Vijana: Mama mbona umechoka ?.
Mama: Silali wanangu.

Vijana: Kwanini hulalli Mama, Nini shida ?
Mama: Mshana na wenzie.
Vijana: Sawa Mama utalala Sana siku zijazo.

Mwanzo wa shida
Mama: Mshana na wenzie.🙌🏿🙌🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿
 
esiesiechi hataki kujifunza yaliyomtokea "MTU FURANI"?? Damu ya Bin Saatisa haiwezi kwenda bure imeenda naye.

Wamuiachie huru SAKO kwa Bako ,kwasisi tuliosoma sequence and series tunajua kinachofuata kama SAKO kwa BAKO watamtoa roho.
 
Siyo kwamba naunga mkono,ila vijana jikiteni kusaka mkate wenu,jengeni maisha, nikikumbuka 1995 na yule mangi kumbe alikua kachero,tukambeba mabegani..hao hawatoki hapo kivyovyote,mwisho wa siku watabadili chupa tu lakini konyagi ileile
Nyakati zinabadilika lakini
Vijana: Mama mbona umechoka ?.
Mama: Silali wanangu.

Vijana: Kwanini hulalli Mama, Nini shida ?
Mama: Mshana na wenzie.
Vijana: Sawa Mama utalala Sana siku zijazo.

Mwanzo wa shida
Mama: Mshana na wenzie.🙌🏿🙌🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿
 
Hakuna linaloshindikana kwenye kijiji chenye Wazee na Taifa bora lenye msingi wa kikatiba na utawala wa sheria huthamini Utawala Bora na usalama wa Raia....Tuzungumze pamoja na kutafuta suluhisho endelevu la pamoja. Ni tarehe 5 Oktoba pale Ubungo plaza....Tusipozungumza kama wenye hekima tutaangamia kama wapumbavu
20241002_091214.jpg
 
1.Unamteka mtoto wa kike kwa mtutu wa bunduki

2.Kundi la wanaume saba wakatili mnakubali kwenda kumteka, kumdalilisha, kumnyanyasa na kutweza utu wa mwanamke kwa ujira wa fedha?

3.Mnafunga kitambaa usoni mwanamke kisha mnamtoa nyumbani kwake Kibiti mnamsafirisha hadi mapori ya Kisarawe kwenda kumnyanyasa na kumfanyia ukatili

4.Mnajitambulisha kuwa ni maafisa wa chombo cha dola kisha mnatumia gari la kodi za wananchi, pingu na bunduki zilizonunuliwa kwa kodi zetu.

5.Mnachana nguo za mwanamke aliyefunzwa kujistiri kwa dini yake safi ya kiislamu tangu utotoni na kumuacha utupu.

6.Mwanamke mmoja anashirikiana na wanaume saba kumshambulia na kumdhalilisha mwanamke mwenzake kwa ujira wa pesa tu

7.Mmemaliza kumfanyia ukatili Mwanamke mnamtekeleza maporini mnaondoka na kujiona wajanja... mnajiona mmeyapatia maisha kweli.

8.Nawakumbusha yupo Mungu juu anayeona kila kitu muda wote na sehemu zote. Ipo siku kabla hamjazikwa na kufukiwa na udongo huu mnaotumia kumwaga damu, mtakumbushwa kila tukio moja mlilotenda.

9.Nawaonea huruma ninyi watekaji na wauaji, kwa kuwa najua hamjui watu makatili kama ninyi mwisho wenu unakuwaga vipi.

10.Lakini niwahakikishie akili za upinzani na harakati hazizimwi kwa mtutu wa bunduki na kufuli la Jela tulifikiri mmejifunza kwa Hayati Magufuli

Hamtoweza kuua watu wote,wapo watakaobaki nyuma yetu,wao watatulipia visasi vyetu.hilo mnatakiwa kulielewa siku zote.

Hakunaga Jambo linafanywa na watu zaidi ya wawili likabakia kuwa siri.
Credit: Boni yai Twitter
20241023_051623.jpg
 
Back
Top Bottom