Samoa Sulha Hasanoo

Samoa Sulha Hasanoo

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,527
Reaction score
830,083
Inawezekana kabisa kijana aliyefuata boda yake kwasunga. Hatunaye tena kama yule Bin Saatisa alyewahi kuambiwa atakutana na chato akiwa mwenyewe pekeyake

Huyu naye kwa taarifa rasmi kabisa aliambiwa.. Hivi karibuni tutamalizana n wewe😭😭😭...!!! Waoga na waovu huogopa mno hata vivuli vyao..ni watu wa kujistukia na kujitengenezea hofu isiyopo.. Wanahukumiwa na nafsi na wanawindwa na damu isiyo hatia!

Kuna manii zilizokosea njia nazo zikatungwa mimba bila baraka za kiroho.. Ni manii uhai kasorobo hizi ndio zinaitesa dumia kwa ujumla wake na kwa mada hii Tanganyika🤬

Shekeli hupofusha macho, kutia masikio ukiziwi na kufubaza ufahamu.. Unabii hutimia kwa mateso na gharama kubwa sijui kwanini?

Kuna kambi za siri za mateso makali, manyanyaso dhuluma na mauaji kwa wanakaya dhaifu dhoofu wanaofanyiwa hayo yote na wenye nguvu ya shekeli na mamlaka! Mbingu zinatazama na zinaona!

Cha(ki)chaka Cha Majambazi( maharamia) ama Mumiani.. Kina hofu kubwa sana.. Hofu ya kupokonywa ulingo na mamlaka! Hofu ya kuvuna walichopanda!

Ogopa sana montana mkali aliyejeruhiwa na anayekaribia kukata moto! Huyu hana cha kupoteza tena bali hutafuta wa kuondoka nao!

Chaka la mumiani linatumika na mwanajangwa bila kujua kwamba kutumika daima kuna kikomo na ukomo wake ni kusetwa pembeni kwa kinyaa kikubwa kama karatasi ya kuchambia kinyesi cha binadamu.

Cha kufurahisha hata katikati ya haya maumivu, huzuni na sintofahamu kubwa... Sukuma twende gangwe wameanza kukunjua makucha hao na very sooner later on wataanza kumparura... Kikulacho ki nguoni mwako.

Akili mnembeko ni kunaayoko! Lakini kamwe hawezi kushinda asili. Ukijua hivi tunajua vile.. Kukichwa kutapambazuka.. Lakini kabla jua kuchomoza kiza huwa kinene.

View: https://youtu.be/9HNl8YAnp0Q?si=Yi2ORTPj4XOPV36j

Alamsiki mpendwa Tanganyika..!!!
 
referee-var.gif
 
Bila ya sisi wananchi kusimama imara na kushikamana , uonevu huu hautaisha.
Siafu wanatushinda kwa umoja?!!. Tuamke, tuseme nooo, inatosha.
 
Kwani Kuna shido
Madaraka ni matamo
Mtazidi kupoteo
View attachment 3083818

Mshana Jr nakuomba Pm tafadhali nina dharura na wewe​

Karibu
Bila ya sisi wananchi kusimama imara na kushikamana , uonevu huu hautaisha.
Siafu wanatushinda kwa umoja?!!. Tuamke, tuseme nooo, inatosha.
View attachment 3083847
Solidarity forever 💪🏿🙏🏿
 
Ili hayo yote yafikie tamati na hao maharamia kuondoka inabidi ile nchi ya kaskazini inayojipaga mlima wetu itupe watu wake waje wakae humu.Sisi wenyewe hatuwezi,wametuharibu sana na kuchukua uwezo wetu wote.
 
Solidarity forever
siezi kukuandikia msg mkuu , waeza ni pm kama hutojali
ok ok sawa
 
View: https://x.com/Advocate_Kisabo/status/1830220871694479647?t=cMTD3bFk_RSagutijhcXJQ&s=19
 
Back
Top Bottom