Baada ya ccm kuanza kumalizana wao kwa wao ndiyo mnakuja na sera za kuombeana kwa Mungu wakati ule mnawashughulikia Chadema mlikuwa kimya kama vile hakuna jambo lolote lililotokea acheni Unafiki Acha tu wamalizane!!!Mungu wa mbinguni, tafadhali sikia kilio chetu, endelea kutunza uhai wa ndugu yetu Humphrey Polepole
Uzuri wa ukosefu wa haki huwa hauna kikomo. Nyie machawa sasa hivi mnafurahia mkidhani kuwa hamtaguswa na dhuluma zinazoendelea. Kumbe na nyinyi au ndugu zenu wa karibu mtakuja kutekwa na kupokwa haki na hata uhai wenu. Furahini kwa sasa kwa vile mnadondokewa na makombo lakini ni suala la muda tu kabla nanyi hamjafikiwa. No one is safe maana dhuluma huwa haina kikomo! Historia inatufundisha hivyo!Rudi Tz utiki 29 October! Yajayo yanafurahisha ukiwa na utayari🔥🔥
Wasalimie mburahati,,,😆Uzuri wa ukosefu wa haki huwa hauna kikomo. Nyie machawa sasa hivi mnafurahia mkidhani kuwa hamtaguswa na dhuluma zinazoendelea. Kumbe na nyinyi au ndugu zenu wa karibu mtakuja kutekwa na kupokwa haki na hata uhai wenu. Furahini kwa sasa kwa vile mnadondokewa na makombo lakini ni suala la muda tu kabla nanyi hamjafikiwa. No one is safe maana dhuluma huwa haina kikomo!
Historia inatufundisha hivyo!
Huwezi kujibizana kwa hoja unakuja na innuendos. Kwani wanaoishi Mburahati siyo watu? Kimsingi wana utofauti gani na wewe unayeishi Masaki?Wasalimie mburahati,,,😆
😅😅 imenibidi nicheke unatia huruma sana! Sijui hasa unataka nini?Huwezi kujibizana kwa hoja unakuja na innuendos. Kwani wanaoishi Mburahati siyo watu? Kimsingi wana utofauti gani na wewe unayeishi Masaki?
Reasoning capacity ya machawa wengi is just out of whack 🚮
Ningewasalimia ila sina uhakika kama wanaweza kupokea salamu za Chawa asiye na utu wala ubinadamu!
Sitaki cho chote.😅😅 imenibidi nicheke unatia huruma sana! Sijui hasa unataka nini?
Hata mimi sikubaliani na Jeshi kutwaa mamlaka ya kiraia..
Lakini kama italazimu, ni bora wachukue washughulike na wahuni wote ndipo warejeshe mpira kwa raia..
Iwe tu hivyo, maana sisi kama raia tumeshindwa kujisimamia na kujiongoza..!
Hopefully, hiki ndicho kinachoendelea kujadiliwa sasa..
It's such simple, kwamba:
1. Bi Samia alazimishwe ku - step down kama mgombea u - Rais huko CCM
2. Bi Samia alazimishwe kuitisha bunge haraka na mapema iwezekanavyo ili lifuate utaratibu wa kikatiba kuahirisha uchaguzi hadi mwakani Oktoba, 2026 na serikali iliyopo iongezewe muda kuwepo madarakani kwa mwaka mmoja zaidi
3. Kuitishwe mkutano wa kitaifa wa reconciliation na kurekebisha sheria na taratiba zinazokwaza wananchi kushindwa kushiriki kwenye masuala ya uendeshaji wa nchi yao kupitia chaguzi huru, wazi, za haki na zinazoaminika
4. Bi Samia afute kesi zote za kisiasa na kuwaachia wote walisweka ndani kwa makosa ya uongo ya kisiasa. nk
#Tuko jikoni, tunajadili haya. Don't worry, kila kitu kitakwenda sawa. Nakuhakikishia kuwa, Rais Samia akiyagomea haya, hatakuwa na choice bali yeye na watu wake have to be ready to face the consequences of their actions...
🤣🤣🤣watu mnachekesha sana!Mko jikoni kina nani?
Samia yupo wapi na yu Hali gani?
Kampeni zimesitishwa?
Hakuna uchaguzi mwaka huu
Bila reform tuliwaambia mkashupaza shingo
Tuendelee kuwepo!!
Lutasitisha vipi sasa bila kuichukua nchi?Sikubaliani na watu wanaosema jeshi lichukue nchi.
Jeshi linatakiwa kusitisha uchaguzi na kuakikisha reforms zinafanyika ndipo uchaguzi ufanyike
Wanachefua hawa!Kuhairisha? 😳😳😳
Tapika mama kija🥰Wanachefua hawa!
Usiumizwe kichwa sana mkuu shammy ni moja ya wale lowest class chawas wale ambao hawanufaiki chochote kile na utawala huu dhalimu, bali wao wameamua tu kusimama na serikali hii kwenye kila hali kwa sababu tu anayeiongoza serikali hii ni mtu ambaye wanafanana nae kiimani kwa maana ya mvaa ushungi mwenzake....Huwezi kujibizana kwa hoja unakuja na innuendos. Kwani wanaoishi Mburahati siyo watu? Kimsingi wana utofauti gani na wewe unayeishi Masaki?
Reasoning capacity ya machawa wengi is just out of whack 🚮
Ningewasalimia ila sina uhakika kama wanaweza kupokea salamu za Chawa asiye na utu wala ubinadamu!
Si weka tu hapa hiyo ratiba au hata eneo mkutano ulipo tuone picha!.Àcha kuaminisha umma matango pori, tafuta ratiba ya kampeni uone leo Kuna tukio gani!?