DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Mgombea wa kiti Cha Urais Kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Kuna watu wanawasaidia wagombea wa vyama vya upinzani ili kuikomoa CCM
Dkt. Samia ameyasema hayo Musoma Mjini Mkoani Mara kwenye mwendelezo wa Mikutano yake ya Kampeni za uchaguzi Mkuu 2025
Dkt. Samia amesema kuwa watu hao wanachichea na kuwasaidia wagombea hao ili kuikomoa CCM lakini katika kuhakikisha Hilo CCM hawezi kuikomoa ambapo Dkt. Samia amewaomba Watanzania kujitokeza Kwa wingi octo 29,2025 wapige kura.