Kwenye maridhiano raia tutataka mengi...
Haki, kutokomeza rushwa, nepotism, amani, utulivu, keki ya taifa igawanywe kiusawa, vyombo vya habari visibanwe, mitandao ifunguliwe...la mwisho katiba, hili halina ubishi, tena katiba ya serikali 3...
Kuwabijishwa waliouwa raia wenzetu, IKULU irudishiwe heshima yake, kina wale wa leaders club tupa kule!