Wamerudi wakiwa katika nafasi ya ushauri kwa uzoefu wao wa kuwa sehemu muhimu ya miaka yake minne aliyoongoza nchi.Watanzania mkae mkijua Rais Samuya anapitia kipindi kigumu sana cha uongozi .Kitendo cha kuwarudisha DR Phillip Mpango na. Majaliwa ikulu kwenye nafasi ya uongozi ni kitendo cha albu sana.Hawa wawili ni viongozi wa juu sana kitaifa ambao wanastahili kupumzika nyumbani na kula pensheni pensheno
Huyo yupo kikatiba, 2030 mpige kura mkileta ujinga wa mwaka jana mtasubiri mpaka 2035.Pona yake ni kuachia kiti
MATAGA walikuwa na UJINGA kama wa kwakoHuyo yupo kikatiba, 2030 mpige kura mkileta ujinga wa mwaka jana mtasubiri mpaka 2035.
Huyu unadhani ana aibu? Huyu mtu hana elimu. Mtu asiyekuwa na elimu hana aibu pia. Wewe humuoni hana hata habari, ndio kwanza anazidi kujisifu kwa mauji.Watanzania mkae mkijua Rais Samia anapitia kipindi kigumu sana cha uongozi. Kitendo cha kuwarudisha Dkt. Phillip Mpango na Majaliwa Ikulu kwenye nafasi ya uongozi ni kitendo cha aibu sana.
Hawa wawili ni viongozi wa juu sana kitaifa ambao wanastahili kupumzika nyumbani na kula pensheni pensheno
MATAGA walikuwa na UJINGA kama wa kwako
na taga Moja linaitwa Y. Job. N. Lilisema litamlazimisha take asitaje.
Nakukumbusha tu tuliko toka
[/QUOTE
KABLA YA 2030 lolote linaweza likatokea.
SIRI YA KESHO YA KILA MTU ni fumbo
,nani kaiona kesho?
nani anaweza kujivuna juu ya kesho,..?
NANI ANAJIPA PUMZI YA UHAI yeye MWENYEWE kwa nguvu zake..mwenyewe?
ukitambua hilo kuwa binadamu wewe huna uwezo wa kuongeza siku zako za kuishi duniani au kizuia kifo chako...
utakuwa mnyenyekevu..hutaonea watu..utaheshimu watu...una zaidi UTAMUOGOPA MUNGU aliyeshikilia uhai wako.
Damu za waliokufa Oct 29,2025 zinamlilia.!!!Watanzania mkae mkijua Rais Samia anapitia kipindi kigumu sana cha uongozi. Kitendo cha kuwarudisha Dkt. Phillip Mpango na Majaliwa Ikulu kwenye nafasi ya uongozi ni kitendo cha aibu sana.
Hawa wawili ni viongozi wa juu sana kitaifa ambao wanastahili kupumzika nyumbani na kula pensheni pensheno
Afanye mara ngapi,Ukijifanya kichwa ngumu
Mlitaka kuichafua nchi iwe uwanja wa vita iwe kama Liberia ya miaka ya 2000 mwanzoni kwamba mwenye nguvu ndio atakayekula siku hiyo. Kwamba mwenye bunduki ya kisasa ndio atakayepata kila anachokitaka.Huyu unadhani ana aibu? Huyu mtu hana elimu. Mtu asiyekuwa na elimu hana aibu pia. Wewe humuoni hana hata habari, ndio kwanza anazidi kujisifu kwa mauji.
Sasa mbona mkuu wako anaogopa kufanya sherehe kitaifa kwa kuwaangusha maadui zake oct29 🤣🤣🤣Mlitaka kuichafua nchi iwe uwanja wa vita iwe kama Liberia ya miaka ya 2000 mwanzoni kwamba mwenye nguvu ndio atakayekula siku hiyo. Kwamba mwenye bunduki ya kisasa ndio atakayepata kila anachokitaka.
Mmetiwa adabu vizuri sana.
Uongozi ni mchakato. Kila kinachokuwa ndani ya mchakato lazima kifuate ratiba.Sasa mbona mkuu wako anaogopa kufanya sherehe kitaifa kwa kuwaangusha maadui zake oct29 🤣🤣🤣
Ye ni kusema tumepitia kipindi kigumu tumepitia kipindi kigumu..