PostGE2025 Samia ulichokiogopa sana ndicho kimekutokea

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Duc in altum

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,076
Reaction score
4,645
Samia ni raisi aliye ogopa sana kuchafuka, kwa ndani alitumia wasio julikana na wanao julikana

Huko nje sasa kumeanza kuchangamka na yupo out of control sijui atafanya nini.

Karata zake zote ndani kasha zicheza iwe kutumia vikundi visivyo rasmi kunyamazisha wakosoaji wake au kesi za mchongo, japo njia zote bado hazijazaa matunda nje nako wameanza kumkaba koo.

Katikati ya hayo yote anamtambulisha mchezaji mwingine anaitwa udini kupitia aliekuwa akipasha kwa mda mrefu
hawa ni mashehe ubwabwa na watumishi feki, anajaribu kulitenga kanisa Catholic dhidi ya Wakristo wengine.

Swali la mwisho atafanikiwa!?
 
Samuya ni raisi aliye ogopa sana kuchafuka, kwa ndani alitumia wasio julikana
Huko nje sasa kumeanza kuchangamka na yupo out of control sijui atafanya nini
Karata zake zote ndani kasha zicheza iwe utekaji, utesaji, ufiraji na mwisho uuaji, japo bado
hazijazaa matunda nje nako wameanza kumkaba koo.
Katikati ya hayo yote anamtambulisha mchezaji mwingine anaitwa udini kupitia
mashehe ubwabwa na watumishi feki, anajaribu kulitenga kanisa Catholic zidi ya
Wakristo wengine, swali la mwisho atafanikiwa!?
Last kick of a dying horse!
 
Well she asked for it, look at her now
 
Udini gani kaka, hamna kitu hapo ni kuhangaika tu.
Raia hiyo hoja walishaikataa toka mwanzo.
View attachment 3511363
watu mnaichukulia poa hii hoja ya udini lakini ukizama ndani zaidi kuna kundi linauunga mkono hadi unaweza kutukana mtu bure!

Kuna kundi la Waislam hasa wale wanaoshinda msikitini na wale wasio na shughuli maalumu za kipato wameibeba kwa nguvu zote hoja hii na wanaiambukiza kwa wale kina mama na mabinti wanaowafundisha quarani!

Hawa mabinti na kina mama wanaovaa nikabu na ambao wana elimu mbalimbali huwaambii lolote kuhusu hii agenda

Wale vijana wanaoshinda msikitini na ambao elimu yao ni ya elimu mbalimbali hii agenda wameibeba kama ilivyo

Hili jambo ni kubwa na linapaswa kukemewa hasa hasa kwa hawa walimu wa madrasa! Hawa wanawalisha sumu mbaya ndugu zetu ipo siku tutachukiana.

Ukisikia watu wanaanza kumuuliza makamu wa Rais kana kwamba hawajui Boss akiongea amemaliza, ujue kuna hatari inatafutwa
 
Samia ni raisi aliye ogopa sana kuchafuka, kwa ndani alitumia wasio julikana

Huko nje sasa kumeanza kuchangamka na yupo out of control sijui atafanya nini

Karata zake zote ndani kasha zicheza iwe utekaji, utesaji, ufiraji na mwisho uuaji, japo bado
hazijazaa matunda nje nako wameanza kumkaba koo.

Katikati ya hayo yote anamtambulisha mchezaji mwingine anaitwa udini kupitia
mashehe ubwabwa na watumishi feki, anajaribu kulitenga kanisa Catholic zidi ya

Wakristo wengine, swali la mwisho atafanikiwa!?
mbio za sakafuni huishia ukingoni
 
1764876576401.png
 
watu mnaichukulia poa hii hoja ya udini lakini ukizama ndani zaidi kuna kundi linauunga mkono hadi unaweza kutukana mtu bure!

Kuna kundi la Waislam hasa wale wanaoshinda msikitini na wale wasio na shughuli maalumu za kipato wameibeba kwa nguvu zote hoja hii na wanaiambukiza kwa wale kina mama na mabinti wanaowafundisha quarani!

Hawa mabinti na kina mama wanaovaa nikabu na ambao wana elimu mbalimbali huwaambii lolote kuhusu hii agenda

Wale vijana wanaoshinda msikitini na ambao elimu yao ni ya elimu mbalimbali hii agenda wameibeba kama ilivyo

Hili jambo ni kubwa na linapaswa kukemewa hasa hasa kwa hawa walimu wa madrasa! Hawa wanawalisha sumu mbaya ndugu zetu ipo siku tutachukiana.

Ukisikia watu wanaanza kumuuliza makamu wa Rais kana kwamba hawajui Boss akiongea amemaliza, ujue kuna hatari inatafutwa
Udini ni dhahiri
 
Insta nimekutana na video za vijana wakielezea majuto yao ya kuandamana na sasa wanaunga mkono serikali ya samia, video zingine ni kutoka kwenye kitaasisi kiitwacho mama asemewe.

Kilichonichekesha zaidi ni hizo video ni Sponsored 😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom