GE2025 Samia: Tutajenga kituo cha mabasi Mkuranga

GE2025 Samia: Tutajenga kituo cha mabasi Mkuranga

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
507
Reaction score
891
Baada ya kilio cha muda mrefu cha wakazi wa mikoa ya Kusini mwa Tanzania cha kukosa kituo kikuu cha mabasi, mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi sasa kitajengwa katika eneo la Mkuranga mkoani Pwani.

Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Mwandege, Mkuranga mwishoni mwa wiki, Rais Samia alisema suala hilo limeingizwa katika Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2025-2030 na kwamba kitajengwa
Screenshot 2025-10-26 175304.png


Screenshot 2025-10-26 175255.png
 
Back
Top Bottom