Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Samia Suluhu Hassan, katika salamu za mwaka mpya 2026 amesema "Tumeondokewa na wapendwa wetu, tuendelee kuwaombea"
Si walitoka nchi jiraniSamia Suluhu Hassan, katika salamu za mwaka mpya 2026 "Tumeondokewa na wapendwa wetu, tuendelee kuwaombea"
View attachment 3523298
Hahahaha@&$@*%
Nilidhani peke yangu ndio nimeona hili 😂😂Mbona ana sura mbaya hivyo
Bado ni wapendwa wetu bwashee 😄😄Si walitoka nchi jirani
Tumeondokewa lakini pia yeye ametudhulumu roho na miili ya wapendwa wetu. Ghadhabu ya Mwenyezi Mungu iwe juu yake na descendants wake!Samia Suluhu Hassan, katika salamu za mwaka mpya 2026 amesema "Tumeondokewa na wapendwa wetu, tuendelee kuwaombea"
View attachment 3523298
Wangapi?Hao wapendwa wao wameondoka kwa namna gani na kwa usafiri gani na wameondoka kwenda wapi?!
Hakika mkuu, laiti angejua basi angekaaga kimya tu maana kila atamkalo linatia kichefuchefuHuyu mama kila analosema anatia hasira bora akaage kimya tu