GE2025 Samia Suluhu Hassan ni Mgombea Halali Kikatiba na kihistoria

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
54,015
Reaction score
43,157
Wanaukumbi.

Mchakato wa Rais Samia kupitishwa kuwa mgombea pekee wa CCM kwa uchaguzi wa 2025 ni wa kihalali kwa mujibu wa Katiba ya CCM, na umefuata historia na utaratibu wa chama uliodumu kwa miongo kadhaa. Wanachama wa CCM, viongozi wa chama, na wananchi kwa ujumla wanapaswa kuelewa kuwa kuteuliwa kwa mgombea mmoja haimaanishi kukandamiza demokrasia, bali ni matokeo ya mshikamano wa chama na imani kwa uongozi uliopo.

Utaratibu huu unaonyesha kuwa ndani ya CCM, rais aliyeko madarakani kwa muhula wa kwanza huwa na nafasi ya kupitishwa kuwa mgombea pekee, kama anatimiza masharti ya kikatiba na hajatenda kosa la kimaadili au kisiasa lililofifisha imani ya chama kwake.

CCM kwa miaka yote imekuwa na utaratibu usioandikwa moja kwa moja, lakini uliojengeka kwa misingi ya muendelezo wa uongozi uliopo madarakani. Mifano ya kihistoria ni kama ifuatavyo:

Mwaka 1995 na 2000: Benjamin Mkapa alipata uteuzi wa pili bila upinzani mkubwa ndani ya chama.

Mwaka 2005 na 2010: Jakaya Kikwete alipendekezwa na vikao vya chama kuwa mgombea kwa vipindi vyake viwili bila upinzani wa maana.

Mwaka 2015 na 2020: Hayati Magufuli alipendekezwa na chama kwa vipindi viwili. Kipindi cha pili akiwa mgombea pekee, bila kupingwa ndani ya chama.

Humphrey Polepole, ambaye kwa wakati huo alikuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, na mjumbe wa vikao vya juu vya chama, aliunga mkono mchakato huo bila kupinga kwamba ulikuwa “haramu” au wa kibaguzi kisiasa. Hivyo basi, endapo anahoji uhalali wa Rais Samia kuwa mgombea pekee leo, anapaswa pia kuhoji uhalali wa mchakato wa Magufuli mwaka 2020 — ambao yeye binafsi aliushiriki kikamilifu.
 
Wewe na Polepole nani anaijua katiba ya CCM?
 
Angalia ulivyokuwa punguani Polepole kwa ni Mungu kila atakachasema unakubali tu bila hata kutumia akili zako kidogo alizokupa Mungu..

Ngoja nikupe darsa.

1. Katiba ya CCM na Uteuzi wa Mgombea Urais

Kwa mujibu wa Katiba ya CCM ya mwaka 1977 (Toleo la 2022):

Ibara ya 39(1) inasema:
“Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa niaba ya CCM hupendekezwa na Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) na kuidhinishwa na Mkutano Mkuu wa Taifa.”

Ibara ya 40 inaeleza utaratibu wa uteuzi kuwa ni kupitia vikao halali vya chama, ambapo jina la mgombea hupitishwa baada ya mchakato wa ndani, ikiwa ni pamoja na mapendekezo kutoka mikoa, Kamati Kuu (CC), na hatimaye NEC na Mkutano Mkuu.

Katika mazingira ya Rais aliyepo madarakani, hasa katika kipindi cha muhula wake wa kwanza, historia inaonyesha kuwa CCM imekuwa ikiteua mgombea huyo kuwa mgombea pekee kwa kipindi cha pili — hali hii si mpya, si haramu, na wala haijakiuka Katiba ya chama..

Sasa endelea kumsikilza Polepole Mungu wako.
 
Fomu alichukua lini na alidhaminiwa na nani?
Huenda una umr mdogo hujui vitu vingi halafu unataka mijada.

Mwaka 1995 na 2000: Benjamin Mkapa alipata uteuzi wa pili bila upinzani mkubwa ndani ya chama.

Mwaka 2005 na 2010: Jakaya Kikwete alipendekezwa na vikao vya chama kuwa mgombea kwa vipindi vyake viwili bila upinzani wa maana.

Mwaka 2015 na 2020: Hayati Magufuli alipendekezwa na chama kwa vipindi viwili. Kipindi cha pili akiwa mgombea pekee, bila kupingwa ndani ya chama.

Utaratibu huu unaonyesha kuwa ndani ya CCM, rais aliyeko madarakani kwa muhula wa kwanza huwa na nafasi ya kupitishwa kuwa mgombea pekee,
 
Wewe ndio Rais ujaye 2030

Hongera sana Mh 🐼
 
Unabisha urikuwepoo
 
Huenda una umr mdogo hujui vitu vingi halafu unataka mijada.

Mwaka 1995 na 2000: Benjamin Mkapa alipata uteuzi wa pili bila upinzani mkubwa ndani ya chama.

Mwaka 2005 na 2010: Jakaya Kikwete alipendekezwa na vikao vya chama kuwa mgombea kwa vipindi vyake viwili bila upinzani wa maana.

Mwaka 2015 na 2020: Hayati Magufuli alipendekezwa na chama kwa vipindi viwili. Kipindi cha pili akiwa mgombea pekee, bila kupingwa ndani ya chama.

Utaratibu huu unaonyesha kuwa ndani ya CCM, rais aliyeko madarakani kwa muhula wa kwanza huwa na nafasi ya kupitishwa kuwa mgombea pekee,

Benjamin Mkapa na Kikwete walichukua fomu tena na kutafuta wadhamini mikoa yote ya nchi.

Huyo mgombea wako wa CCM wa leo lini alichukua fomu na kutafuta wadhamini nchi nzima?

Blahblah hazisaidii
 
Achana habari ya fomu uongelea Katiba ya CCM.
Ibara ya 40 inaeleza utaratibu wa uteuzi kuwa ni kupitia vikao halali vya chama, ambapo jina la mgombea hupitishwa baada ya mchakato wa ndani, ikiwa ni pamoja na mapendekezo kutoka mikoa, Kamati Kuu (CC), na hatimaye NEC na Mkutano Mkuu.

Katika mazingira ya Rais aliyepo madarakani, hasa katika kipindi cha muhula wake wa kwanza, historia inaonyesha kuwa CCM imekuwa ikiteua mgombea huyo kuwa mgombea pekee kwa kipindi cha pili — hali hii si mpya, si haramu, na wala haijakiuka Katiba ya chama
 
Huenda una umr mdogo hujui vitu vingi halafu unataka mijada.

Mwaka 1995 na 2000: Benjamin Mkapa alipata uteuzi wa pili bila upinzani mkubwa ndani ya chama.

Mwaka 2005 na 2010: Jakaya Kikwete alipendekezwa na vikao vya chama kuwa mgombea kwa vipindi vyake viwili bila upinzani wa maana.

Mwaka 2015 na 2020: Hayati Magufuli alipendekezwa na chama kwa vipindi viwili. Kipindi cha pili akiwa mgombea pekee, bila kupingwa ndani ya chama.

Utaratibu huu unaonyesha kuwa ndani ya CCM, rais aliyeko madarakani kwa muhula wa kwanza huwa na nafasi ya kupitishwa kuwa mgombea pekee,
Umeulizwa swali dogo tuu lakini ulichojibu ni usenge.
JIBU SWALI, Alichukua fomu lini?
 
Wanaukumbi.

Mchakato wa Rais Samia kupitishwa kuwa mgombea pekee wa CCM kwa uchaguzi wa 2025 ni wa kihalali kwa mujibu wa Katiba ya CCM, na umefuata historia na utaratibu wa chama uliodumu kwa miongo kadhaa. Wanachama wa CCM, viongozi wa chama, na wananchi kwa ujumla wanapaswa kuelewa kuwa kuteuliwa kwa mgombea mmoja haimaanishi kukandamiza demokrasia, bali ni matokeo ya mshikamano wa chama na imani kwa uongozi uliopo.

Utaratibu huu unaonyesha kuwa ndani ya CCM, rais aliyeko madarakani kwa muhula wa kwanza huwa na nafasi ya kupitishwa kuwa mgombea pekee, kama anatimiza masharti ya kikatiba na hajatenda kosa la kimaadili au kisiasa lililofifisha imani ya chama kwake.

CCM kwa miaka yote imekuwa na utaratibu usioandikwa moja kwa moja, lakini uliojengeka kwa misingi ya muendelezo wa uongozi uliopo madarakani. Mifano ya kihistoria ni kama ifuatavyo:

Mwaka 1995 na 2000: Benjamin Mkapa alipata uteuzi wa pili bila upinzani mkubwa ndani ya chama.

Mwaka 2005 na 2010: Jakaya Kikwete alipendekezwa na vikao vya chama kuwa mgombea kwa vipindi vyake viwili bila upinzani wa maana.

Mwaka 2015 na 2020: Hayati Magufuli alipendekezwa na chama kwa vipindi viwili. Kipindi cha pili akiwa mgombea pekee, bila kupingwa ndani ya chama.

Humphrey Polepole, ambaye kwa wakati huo alikuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, na mjumbe wa vikao vya juu vya chama, aliunga mkono mchakato huo bila kupinga kwamba ulikuwa “haramu” au wa kibaguzi kisiasa. Hivyo basi, endapo anahoji uhalali wa Rais Samia kuwa mgombea pekee leo, anapaswa pia kuhoji uhalali wa mchakato wa Magufuli mwaka 2020 — ambao yeye binafsi aliushiriki kikamilifu.
Mtararuana wenyewe huko, tangu Lini kikao cha kupendekeza mgombea kikawa chaired na ngombea mwenyewe? Kama sio uwendawazimu ni kitu gani
 
We una hangaika bure hayo yote wanayajua issue ni kwamba kifo cha Magu kimeharibu mipango yao. Wana mtu wao hao wanaolialia sasa wanaona mpk 2030 mambo mengi yatakuwa yameshabadilika. Hakuna anayelinda katiba hapo hao wanafikiria kutumia matumbo. Kwanza hawakutaka kabisa Samia awe Rais walitaka kuvunja katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania waziwazi, leo ndio wanajua katiba ya chama? Wanafki wakuda hao. Pili hawakutegemea pengine km angegombea mwaka huu 2025, sasa ndio wamepanic kabisa, Samia kwa uwezo mkubwa aliouonesha ningesikitika sana binafsi km asingegombea, huyu mama ametuliza nchi, ameunganisha nchi, hana ukabila, hana ukanda, maendeleo anayapeleka mikoa na kanda zote bila ubaguzi, watanzania tunataka turudi kwa mtu km yule mbaguzi?, aliigawa nchi ktk kanda, alieneza ukabila waziwazi ndio maana mara baada ya kufa tu mitandao ilijaa post za kikanda, za kikabila. Magufuli leo hii nchi ingeshaparanganyika, aliigawa nchi. Tumshukuru Mungu kutupatia Samia tuwapuuze hao washenzi.
 
Achana habari ya fomu uongelea Katiba ya CCM.
Ibara ya 40 inaeleza utaratibu wa uteuzi kuwa ni kupitia vikao halali vya chama, ambapo jina la mgombea hupitishwa baada ya mchakato wa ndani, ikiwa ni pamoja na mapendekezo kutoka mikoa, Kamati Kuu (CC), na hatimaye NEC na Mkutano Mkuu.

Katika mazingira ya Rais aliyepo madarakani, hasa katika kipindi cha muhula wake wa kwanza, historia inaonyesha kuwa CCM imekuwa ikiteua mgombea huyo kuwa mgombea pekee kwa kipindi cha pili — hali hii si mpya, si haramu, na wala haijakiuka Katiba ya chama

Katiba ya CCM inatambua kanuni za uchaguzi za chama.

Kanuni zinataka mtu achukue fomu na apate wadhamini wanaCCM kutoka mikoa yote. So far Samia hajachukua fomu na wala hajadhaminiwa na mwanaCCM yeyote kuwa mgombea kabla ya uteuzi wake. Kwa hiyo kikao cha mkutano mkuu kilielekezwa vibaya na mwenyekiti wa mkutano huo ambaye ni Samia Mwenyewe, na aliyeendesha zoezi hilo bwana Jakaya Kikwete.
 
Back
Top Bottom