Samia Suluhu for PRESIDENT (2025-2035)

Mashashola

JF-Expert Member
Feb 23, 2020
4,091
5,279
Samia Suluhu for PRESIDENT (2025-2035)
Maono yangu ni kua Mama Samia Suluhu ataongoza chini ya CCM hadi 2035 sababu yeye ni mzanzibar.
Kama rais wa Tanzania, ataweza kupeleka maendeleo Zanzibar kama vile Magufuli alivyopeleka maendeleo chato.
Uongozi wa CCM hadi mwaka wa 2035 utapea Kenya nafasi ya kuipa Tanzania gap ya kiuchumi ambayo itakua kubwa Mara tatu zaidi ilivyo sa hizi.
Screenshot_20211107-193347.jpg
 
Tatizo la wengi hawajui wananchi wanafikiri nini awamu hii ila yajayo yanafurahisha
 
Samia Suluhu for PRESIDENT (2025-2035)
Maono yangu ni kua Mama Samia Suluhu ataongoza chini ya CCM hadi 2035 sababu yeye ni mzanzibar.
Yaani siku zote akili za CCM ni uchaguzi tu mwanzo mwisho, hawanaga kingine kisha wanachomekea kidogo eti maendeleo, wahuni wakubwa yaani miaka 50+ madarakani bado mnaimba wimbo huo huo?
 
Ni watanzania sio Mimi mkuu. Wangepigia chama kingine kura CCM haingeshinda.
 
Ndugu zangu watanzania naomba tusikubali kuona Mtanzania mwenzetu SPRIAN MSIBA mtetezi wa taifa letu dhidi ya wadhalimu wa taifa letu, akiteketea peke yake juu ya yaliyomkuta. Naomba kwa pamoja tushikamane kwa kuweza kumchangia kwa chochote kile ili tuweze kumshika mkono mtu huyu. Hiyo tumeona tuweke namba yake hiyo hapo 0655655599 ili kuhakikisha waweza kumchek moja kwa moja yeye mwenyewe pia. Unaweza kutuma pesa kwenye namba hiyo moja kwa moja. Kwa sababu kuwaacha wazalendo kama hawa wakipotea peke yao basi itakuwa ni kama kuwatia uoga wengine ambao watakuwa tayari kutetea wanyonge wengine. Hivyo kwa wale ambao walikuwa waamini wa JPM na hata wasio waamini lakini ni wazalendo wa kweli basi tushirikiane kumchangia mwenzetu kwa haya yaliyompata ili wengine nao wasije kuingia na uoga wa kuweka uzalendo wao mbele kwa kutetea taifa letu. Karibuni sana🙏🏽🙏🏽
 
Anadaiwa pesa nyingi sana na wenye fedha nyingi hivyo inaaminika ni mafisadi.
 
Back
Top Bottom