Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,729
- 5,639
Jambo moja sielewi, kwamba watu wengine wanataka mchakato wa kumpata mgombea urais CCM urudiwe ili Samia Suluhu athibitishwe au hata abadilishwe. Sioni sababu,kwa sababu Rais Samia amefanya kazi nzuri,na akichaguliwa tena ataendelea kama alivyofanya mwanzo. Anajenga flyover,anajenga daraja, anajenga barabara ya lami.
Lakini hawa Marais wanakuja wanakwenda. Watu wengine wanafaidika sana binafsi.
Magufuli,kwa mfano,hakuna Rais amewafaa Watanzania kuliko Magufuli, lakini maisha yangu mimi wakati wa utawala wake yalikuwa hohehahe.
Kipindi chote cha uongozi wa Magufuli bank account yangu ilikuwa dormant.
Kwa hiyo naona vigumu kwangu mimi kuingia kwenye mjadala wa CCM haikuwachagua vizuri wagombea wake,ianze upya.
Kuhusu Uchaguzi wa ndani unaondelea katika CCM sasa hivi,I hope virtue will triumph,na kwamba Uchaguzi hautaharibiwa na tamaa ya hela.
Hawa CCM, they must have the religious spirit. Vinginevyo, itakuwa kama siku zote: serikali zinainuka kwa hila,na baadaye zinaondoka kwa hila.
Hapa ndio kila kitu,kama alivyokuwa anasema Mzee Butiku jana,hapa unataka kuunda serikali mpya.
Hii siyo siasa ya kiima ambayo kiongozi habadilishwi. Huu ni uongozi wa viongozi kubadilika,ambapo aliyekuwa anaongoza,anarudi kuongozwa,kama Mzee Kikwete pale. Kwa hiyo haitakiwi kutokea glitch katika kubadilisha viongozi.
Uchaguzi lazima yatakuwepo matatizo yake
Tunavyoona kila kitu kinaenda vizuri. Uchaguzi ni kupata Cabinet mpya,ndiyo lengo la Uchaguzi.
Tamaa ni jambo baya. Hela watu wanapeana katika Uchaguzi. Lakini kwa kawaida huwa wanapewa na watu wale wale ambao walikuwa wamepanga kuwachagua hata bila kupewa hela.
Siku ya Qiyamat hakuna shahidi,shahidi ni wewe mwenyewe. Kwa hiyo siyo hekima kutenda kosa kwa kufikiria hakuna mtu anakuona.
Nadhani pia kuna tatizo CCM watu wanauliza ni lazima kuruhusu uongozi ununuliwe? Watu incompetent wanunue uongozi? Rubani aliyenunua certificate ya urubani anafaa kuwa rubani?
Kwa hiyo tunataka uongozi bora katika ngazi zote. Kwa sababu kiongozi mkubwa anahitaji watu wa kumsaidia.
Actually hata mimi hapa kama nikimchagua Majaliwa kuwa Waziri Mkuu na Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Fedha,mimi pia naweza kuwa Rais. Halafu wale watafanya kazi yote na mimi nitapata sifa yote.
Halafu nisiporidhishwa na kazi yao,nitawachagua wengine.