Samia Suluhu akutana na nguvu ya UKAWA Arumeru Mangharibi

Samia Suluhu akutana na nguvu ya UKAWA Arumeru Mangharibi

lengume

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
318
Reaction score
135
Akiwa anaingia katika Mji mdogo wa Ngaramtoni ulioko Arumeru Mangharibi Arusha. Mh Samia Suluhu amepata wakati mgumu baada ya kukutana na Nguvu ya Ukawa na kuonyeshwa alama ya Vidole viwili.

Alishuka Stendi ya Ngaramtoni kutaka kuzungumza lkn watu waliokuwa hapo walikataa kumsikiliza na kuendelea kupiga kelele huku wakisema Lowassa anatosha.

Baada ya hapo alienda kwenye Soko na kuwahutubia wana CCM aliokuja nao ambao hawafiki hamsini.

Baada ya mkutano kuisha msafara huo uliondoka huku ukiongozwa na Polisi huku spidi ya Magari ikiwa kubwa sana na zikitimua vumbi ili Suluhu asiendelee kuzomewa pale stendi ya Ngaramtoni.

Picha zinakuja.
 
Unadanganya mchana kweupe


Lizaboni mjukuu wangu, kwa sasa unakunywa lita ngapi za maji kwa siku na maziwa fresh kiasi gani?

Maana naona muda wote umerefusha ulimi nje bia kujali vumbi la kiangazi hiki!.

Pole mjukuu, ila hakikisha unapata maji na maziwa ya kutosha vinginevyo unakuwa kafara la ccm kama walivyopanga. Hatutaki kukupoteza. Tanzania mpya inakuhitaji sana.
 
Mleta mada ni muongo mkubwa. ana hisa katika kiwanda cha kupika uongo kilichopo pale ufipa
 
tuna imaaaniiiiiiiiiii na samiaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Lizaboni mjukuu wangu, kwa sasa unakunywa lita ngapi za maji kwa siku na maziwa fresh kiasi gani?

Maana naona muda wote umerefusha ulimi nje bia kujali vumbi la kiangazi hiki!.

Pole mjukuu, ila hakikisha unapata maji na maziwa ya kutosha vinginevyo unakuwa kafara la ccm kama walivyopanga. Hatutaki kukupoteza. Tanzania mpya inakuhitaji sana.

.. Lizaboni big haja na small haja zinamtoka kwa pamoja kipindi hiki
 
Last edited by a moderator:
tuna imaaaniiiiiiiiiii na samiaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

CCM wenyewe mbele ya Jk tena wakiwa ndani ya magamba yao ya kijani waliimba kuwa tunaimani na Lowassa ina maana kuwa Samia na Magufuli wake hawakuwepo siku hiyo?.
 
Back
Top Bottom