Samia ni Nero wa Tanzania!?

Mnahangaika
 
Huyu mama ni Nero mtupu,
1. Anapenda sana vigodoro (vigoma) na matamasha.
2. Ameunda vikundi vya kumsifia kama ilivyokuwa kwa Nero.
3. Nchi inaendeshwa na washauri (machawa).
4. Kila anayemkosoa nje na ndani ya CCM anageuka kuwa adui yake.

Samia = mfalme Nero
 
Huyu na Nero tofauti yao ni jinsia tu
 
SSM anachukiwa san na watu. Mimi binafsi sijawahi ona rais anaechukiwa kama huyu.

Check hata comment za wadau humu nyuzi zikiamzishwa kwa vipindi vya marais wote.

Msoga alianza vizuri. Watu wengi walimuunga mkono na alikua na Ushawishi sana.

Awamu ya pili baada ya uoigaji kua mwingi, akainhia kwenye kundi la kuchukiwa na wengi.

Huyu kaanza tu na kuchukiwa.
 
Una umri gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…