Samia ni Mama, hakuwaua watoto wenu. Mungu huwachukua watu sugu wa aina flani kwa njia flani

Samia ni Mama, hakuwaua watoto wenu. Mungu huwachukua watu sugu wa aina flani kwa njia flani

Waliouawa majumbani mwao walishiriki fujo gani? Fujo za kubaki nyumbani?

You’re seriously sick in the head!
Hata kama kuna waliofanya fujo, je, adhabu ya mtu kufanya fujo ni kifo cha kupigwa risasi ya kichwa?

Tuna deal na watu ambao hawana kabisa akili, tukianzia na huyo amiri muuaji mkuu Samia.

Watu wangapi kwenye fujo za maandamano ya George Floyd waliuliwa na polisi huko Marekani?
 
Sijasoma, najibu kichwa cha mada tu:
Huyo unayemwita "mama" wewe, ni shetani wa kike.
Samia ni mwanamke mwovu sana.

Alidai mwenyewe kuwa hajawahi kuua sisimizi; wakati huo huo akimaliza kumuua Mzee Ally Mohammed Kibao.

Na sasa hivi baada ya kuua waTanzania, bado anajifanya yeye hayamhusu!
 
Kamtoe Tundu Lissu.
Tundu Lissu "atatoka"; na Samia hana lake tena.
Ungekuwa na akili angalau kidogo tu usingehangaika na uchizi wa aina hii unaouleta humu JF. Huku hakuna msaada tena wa kumwokoa Samia Suluhu Hassan.

Cha ajabu ni kuwa mtu kama wewe, unajitokeza wakati huu, na kuingia JF May 12, na kuanza kuweka uharo wa aina hii hapa. Unafikiri utamsaidia chochote huyo Samia?

Tena uandishi wenyewe hata hauna mpangilio wa kueleweka; hii ajira mpya uliyopewa utaiweza kweli?
 
Were you already born when she said, “…nguvu iliyotumika ilikuwa nguvu sahihi…”?

I know sycophants when I run into them—you’re one of them. I am sure even the fazafaka’s farting is good enough to launch you into a celebratory mood!
Ulitaka Polisi wafanye nini dhidi ya yale magenge ya waharibifu na waporaji? Ubaya wa Samia uko wapi? Mbona ndiye aliwarudisha kutoka Belgium/ Canada akina Tundu na Lema waliokuwa wamekimbia kuuliwa na Magufuli? Samia ndiye aliyerudisha mikutano ya vyama na ruzuku mkapewa.

On the contrary mkamdharau maana wanufaika wakubwa wa 4R hasa Tundu akaanza kuropoka na kutukana. Naye Samia ni binadamu, hata kama ni mpole lakini mamlaka yake siyo mapole. Huwezi kubeza dola kizembe ukaachiwa hivi hivi
 
Nasikitika kitu cha kwanza kusoma siku ya leo ni hii mada yenye maudhi mengi.
Uwasilishaji wake ni mbaya , maudhui yasio na tija , ujumbe unao udhi , maoni yanayo vunja moyo nk.

Kwa ufupi hii ni taka taka imeingia kwenye ubongo wangu kwa bahati mbaya sana.

Ni vile hakana jinsi ni kuvumiliana kila anaye toa maoni , kila anae tia maoni huegema upande wake, pale kwenye maslahi yake na furaha pamoja na matamanio yake.
Ila upende mwingine wale wanao pokea hayo maoni huwezi jua wanaumia kiasi gani kwa hayo maoni.

Nimesikitika sana pale aliposema uzembe wa wazazi wetu ndio chanzo cha umaskini!
 
Ulitaka Polisi wafanye nini dhidi ya yale magenge ya waharibifu na waporaji?

Hawa watoto walimpora nani? Walipora nini?

IMG_9687.jpeg
IMG_8710.jpeg
IMG_8715.jpeg
IMG_8639.jpeg
 
Tundu Lissu alikuwa active toka kipindi cha Hayati Mheshimiwa Rais J.P Magufuli na hakuwahi kuactivate Jinai kwa sababu alijua hawezi kufanikiwa na ni kitu ambacho kingempa adhabu kali sana .

tafuta.Acheni kudai masuluhisho yenu ya kifedha kutoka kwa Mama Samia yeye anafanya ya msingi tu.
Gentleman,
ukweli mtupu na muhimu kama huu, huwakera sana vibaka wa siasa na wafuata mkumbo nchini,

hata hivyo,
umepiga kwenye mshono kabisa, tena kwa usahihi wa 100%,

Dr. Samia Suluhu Hassan ni mama na kipenzi cha waTanzania wote na hatuna deni nae kama Taifa.

well done gentleman 👊
 
Were you already born when she said, “…nguvu iliyotumika ilikuwa nguvu sahihi…”?

I know sycophants when I run into them—you’re one of them. I am sure even the fazafaka’s farting is good enough to launch you into a celebratory mood!
Yeah nguvu iliyotumika ilikua sahihi stupid hakuna sheria iliyovunjwa ndiyo maana hakuna wa maana anayempinga.
 
Ni mpumbavu pekee anayemuita samia mama. Tena ni upungufu mkubwa wa akili, eti SAMIA NI MAMA! SHEM ON YOU! ACHA KINA ABDUL NDIO WAMUITE MAMA NA SIO KILA MTU! KWANI UMENYONYA MAZIWA YAKE AU ULIPITA KWENYE TUNDU LAKE DAMU NA KODO LAKO PAMOJA NA UCHUNGU WA LEBA ALIUSIKIA YEYE. HALAFU BABA YAKO SIO MALAYA KIWANGO HICHO HADI ALALE NA SAMIA
 
Njaa kila mtu anayo,cha msingi unapewaje fursa?
Kama umeona hivyo sawa na Mama napenda aone nilichoandika.Nchi inaongozwa na wenye uwezo mkubwa wa kufikiri .
Tunaongozwa na watu ambao wana uwezo mdogo wa kufikri ndiyo maana wakishindwa kujibu hoja wanatumia risasi na mabomu ya polisi.
 
Back
Top Bottom