Tetesi: Samia na wenzake 84 wanaodaiwa kushtakiwa na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ICC

Tetesi: Samia na wenzake 84 wanaodaiwa kushtakiwa na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ICC

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
29,869
Reaction score
34,025
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa kivita mjini The Hague ICC imetakiwa kuchunguza madai ya mauaji ya watu wengi wakati wa msako mkali wa maandamano wakati wa uchaguzi nchini Tanzania mwezi uliopita.

Mawakili wa watu wanaodaiwa kuwa waathiriwa wanaoungwa mkono na Chama cha Wanasheria Duniani na Chama cha Wanasheria wa Madrid wamewasilisha hati kwa ICC inayoelezea madai ya mauaji hayo pamoja na utekaji nyara, utesaji na vitendo vingine vya vitisho dhidi ya upinzani wa kisiasa.

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alishinda uchaguzi wa Oktoba 29 kwa karibu asilimia 98 ya kura baada ya wapinzani wake wakuu kuzuiwa kuwania katika uchaguzi huo..

Maandamano hayo - ambayo ni ya hivi punde zaidi ya vijana wa Kiafrika waliokasirishwa na ukosefu wa ajira, kupanda kwa gharama na uhuru mdogo wa kisiasa - yanafuatia kile kinachoitwa maandamano ya Gen Z nchini Morocco na Madagascar, ambapo serikali iliondolewa na jeshi baada ya wiki kadhaa za machafuko.

Hati ya mahakama, iliowasilishwa pamoja na shirika la Intelwatch la Afrika Kusini tarehe 13 Novemba, inaitaka ICC kuzingatia uhalifu dhidi ya ubinadamu na kutoa hati za kukamatwa


Source: Jasusi TV
 
The 85 : Wanted Dead or aLive

Toka maktaba:
Historia kuwakamata hawa wajivuni 85

level za Felician Kabuga wa Rwanda (hapa chini) aliyetumia vyombo vyake vya habari kwa ufadhili wa kisiri na kukingiwa kifua na waliokuwa madarakani ..

Kwa mujibu wa shutuma, Kabuga pamoja na wengine, wanatuhumiwa

kutumia Kituo cha redio cha Radio Television Libre des Mille Collines (RTLM) kuchochea zaidi chuki kati ya watu kuaminisha jamii ya Rwanda kuwa ....
Félicien Kabuga amekamatwa nchini Ufaransa aliyetafutwa tangu miaka 26 iliyopita kufuatia na tuhuma za ushiriki wa kufadhili mauaji ya kimbari nchini Rwanda kunako 1994.
Félicien Kabuga amekamatwa nchini Ufaransa aliyetafutwa tangu miaka 26 iliyopita kufuatia na tuhuma za ushiriki wa kufadhili mauaji ya kimbari nchini Rwanda kunako 1994.
ULIMWENGU

Rwanda:Mfadhili wa mauaji ya kimbari Kabuga akamatwa!​

Félicien Kabuga amekamatwa nchini Ufaransa ambaye alitafutwa kwa miaka sasa 26 kwa kushutumiwa kunako mwaka 1997 na Mahakama ya Makosa ya Jinai ya Rwanda iliyoko nchini Tanzania.Mfanyabiashara huyo wa Kihutu anatuhumiwa kufadhili wanamgambo waliofanya mauaji kwa watu wapatao 800elfu kati ya Watutsi na Wahutu kwa siku mia moja mwaka 1994.

Félicien Kabuga amekatwa nchini Ufaransa ambaye alitafutwa kwa miaka sasa 26 kwakushutumiwa kunako mwaka 1997 na Mahakama ya Makosa ya Jinai ya Rwanda (ICTR) kwa makosa saba ikiwa ni pamoja na mauaji ya kimbari, na uchochezi katika mauaji ya kimbari kunako 1994 nchini Rwanda. Mwendesha mashtaka wa umma wa Umoja wa (UN) ameomba kuhamishiwa Uholanzi anayedaiwa kufadhili mauaji ya kimbari wa Rwanda Félicien Kabuga, aliyekamatwa siku ya Jumamosi tarehe 16 Mei 2020 nchini Ufaransa baada ya miaka karibu 26 ya kutoroka, Kabuga anatarajiwa kuhamishiwa katika Mahakama ya Makosa ya Jinai ya Rwanda nchini Tanzania, lakini kutokana na mlipuko wa janga, mwendesha mashtaka anaomba uhamishaji wake katika Mahakama ya (AIA). Wizara ya Sheria ya Ufaransa ilitangaza kwa taarifa huku ikielezea kwamba Kabuga, kwa sasa mwenye umri wa miaka 84, ameishi chini ya kitambulisho cha bandia katika ghorofa moha huko Asnieres-sur-Seine, karibu na jiji la Paris. Mfanyabiashara wa Kihutu, anatuhumiwa kufadhili wanamgambo ambao walifanya mauaji watao 800,000 kati ya Watutsi na Wahutu kwa siku mia moja mwaka 1994.
Naye Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa Bi Michelle Bachelet tarehe 19 Mei 2020 mjini Geneva Uswisi alikaribisha kukamatwa kwa Felicien Kabuga ambaye anatuhumiwa kuongoza mauaji ya kimbari dhidi ya watutsi nchini Rwanda yalitotekelezwa mwana 1994. Bi Bachelet amesema, “kukamatwa kwa Félicien Kabuga, miaka 26 baada ya mauaji ya kimbari, kunasisitiza ufikiaji mrefu wa uwajibikaji kwa makosa ya kimataifa. Hakuna ambaye anafanya makosa ya kimataifa anatakiwa kufikiri kuwa kupita kwa wakati wanaweza kukwepa mkono wa haki na kwamba hawatawajibishwa.”
Kabuga alikuwa ameshtumiwa mnamo mwaka 1997 na Mahakama ya Makosa ya Jinai ya Rwanda (ICTR) kwa makosa saba ikiwa ni pamoja na mauaji ya kimbari, ushiriki katika mauaji ya kimbari, na pia uchochezi wa moja kwa moja na wa umma wa kutekeleza mauaji ya kimbari , yote haya yakiwa na uhusiano na uhalifu uliofanywa dhidi ya watutsi nchini Rwanda.
Kwa mujibu wa shutuma, Kabuga pamoja na wengine, wanatuhumiwa kutumia Kituo cha redio cha Radio Television Libre des Mille Collines (RTLM) kuchochea zaidi chuki kati ya watu wa kabila la wahutu na watutsi nchini Rwanda. Kabuga pia anatuhumiwa yeye pamoja na wengine, kuanzisha uchangishaji fedha za kufadhili kundi la wanamgambo wa Interahamwe ambalo
 
Kuna siku utaikana hii post na pengine kubadili utambulisho wako hapa jf

Nakwambia lazima Samia ashitakiwe ICC na lazima afungwe.


Tafuta namna ya kujifariji baada ya Samia the Butcher kwenda Hague

hao jamaa wala hawamjali huyo mtu kama wanavyojaribu kujionyesha hapa kwa kumtetea kwani kama kweli wangekuwa wanamjali na kumpenda wangekuwa worried, wanamtumia tu kama a means to an end, lkn hawajali chochote na ndiyo maana hata mambo serious wanaleta mzaha, na likija kumfika la kunmfika atakuwa peke yake na hata watamsahau na kuendelea na maisha yao ...
 
Mapambano makali yanaendelea, dhidi ya uharamia wa dola kujaribu kuiingilia mifumo ili kutengeneza upenyo wa kumuokoa Samia Hassan

19 February 2026

Leo #MariaSpaces tunajadili: Wananchi tumejipangaje na ICC na sarakasi za Samia?​


View: https://m.youtube.com/watch?v=2p04jceEo7I
Leo #MariaSpaces tunajadili: Wananchi tumejipangaje na ICC na sarakasi za Samia? ICC ina ripoti ya mauaji halaiki na utekaji ulioendeshwa chini ya Samia Suluhu na mahakama imeanza kufuatilia. Lakini tusidhani mafedhuli na wauaji hawajipangi! Tunajipangaje sisi?
 
Samia Suluhu Hassan
Stephen Wasira
Jakaya Kikwete
Waziri (aliyekuwa msaidizi wa karibu wa Samia
Aliyewezesha kuleta KMKM kuja kuwaua waTanganyika
Kingai

Jumanne Mulilo
Hamza Johari
Mchengerwa
ACP Awadhi
Faustine Mafwele

Stuxnet na Steven Joel Ntamsana wa JF
Kamanda wa Polisi Mbeya
Kamanda wa polisi Mwanza
Kabuti Kalamaganda
Mtoto wa Samia

Wajumbe wote wa CC ya CCM
Camillius Wambura
Mkunda
Kile kinyago kinachoitwa Msigwa
Kinyago kingine kilichopo TCRA
Mwigulu Madilu Ncemba

Bashite
 
Back
Top Bottom