sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,679
- 9,839
Naona watu mnatoka kwenye lengo kirahisi sana.
Samia ameshatepeta.
Ametumia wasanii, makada na football kuwapumbaza watanzania lakini hakufanikiwa.
Alitumia risasi kuwatisha watanzania lakini hakufanikiwa.
Kitendo cha watanzania kuandamana 29-10-2025 ni mwanzo wa Tanzania mpya bila ya CCM.
Wameshajua kuwa Samia hapendwi totally na watu wapo serious hawamtaki.
Watu wamekataa kunyamazishwa wanataka mauaji ya halaiki ya watu zaidi ya 10,000 haki itendeke na tuwawajibishe wote. Ikibidi kunyongwa mpaka kufa kama wao walivyotoa uhaki wa watanzania wenzetu.
Sasa amekuja na plan yake ya mwisho anajua ni hatari lakini pia anajua ndio turufu ya kumuokoa sababu inapokuja ishu ya imani watanzania wapo very emotional.
Msikubali kucheza ngoma ya Samia ya kupandikiza chuki za kidini.
Mmeshaanza kukataana na kuitana majina mabaya.
Ukisema Masheikh hawajasoma wanachoweza ni kula ubwabwa usifikiri unapambania dini yako. Hicho ndio Samia anataka kwa sasa ili ajinusuru.
Ukisema mapadri wanalawiti watoto au wanaabudu sanamu hicho ndio Samia anataka kwa sasa.
Yani mnavyotoka kwenye lengo na kuamisha ajenda kuwa Muslims vs Christians ndio pona pona ya Samia na genge lake impact yake itakuwaje sio ishu kubwa kwake kwa sasa anachotaka ni kujinasua.
Anatafuta kundi la kumlinda. Kuondoa uhai wa raia wako 10,000+ sio jambo dogo au la "upepo tu utapita ". Hii ishu ni serious na ni hatari.
Vyombo vya dola vimeshindwa kumlinda.
Chama chake wanajificha mitaani mpaka bendera wametoa juu ya nyumba.
Amewasetia mtego wa udini anajua ni rahisi kuunasa.
Lakini Gen Z watam-prove wrong.
Kuna viongozi wa dini wanaenda kudhalilika. Hawajasoma alama za nyakati hakuna aliyeshindana na wakati akashinda.