Hopkinsvile
Senior Member
- Jan 17, 2026
- 136
- 306
Huyu Samia ni kama alizaliwa kuwa muigizaji akajikuta anapenda uhudumu
wa ndege. Isivyo bahati akadondokea kwenye uraisi.
Maigizo ya Samia:
1) ety kaanzisha wizara ya vijana hii wizara mbona ipo toka kitambo
lakini anavyo ibrend ni kama haikuwepo.
2) Uchunguzi ety ameunda tume huru, huru dhidi ya nini!? Tume inawanajeshi,
waziri wa ulinzi, majaji âmbao ni wateule wako, zaidi wewe muundaji wa tume ndio
mshukiwa namba moja na wasaidizi wako CDF, IGP, DGIS watu ambao wanahusika
moja kwa moja hata kabla ya kutajwa na uchunguzi bãdo wako ofsini na uliwamwagia
sifa kedekede baada ya kukufanishia leongo lako la kujiapisha.
3)Et kazi na utu, hivi utu huko CCM ndio kufirana!? au ni kutekana!? au kuuana!?
Utu gani mwenezi na balozi anatoweka hamna hata anayeweza kitaja jina lake!?
4)Mwanamageuzi wa uchumi, Mageuzi pekee anayofanya ni ya kuuza watanganyika kwa waarabu.
Bosi wa DP alivyo compromised ni kweli mkataba wa DP unausafi wowote!?
5) Samia hata ukijifanya mwema ila historia itakuandika kwa haki na hutakuwa na chawa wa kukutetea
historia ikiwa inaandikwa. Labda waandike sasa ukiwa bado upo high table