GE2025 Samia Kuongea na wazee pamoja na wakuu wa Mikoa kesho 27 /08/ 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
29,869
Reaction score
34,025
RAIS SAMIA HASSAN KUONGEA NA TAIFA KUPITIA MKUTANO WAKE NA WAZEE 27 AGOSTI 2025

Mh. Samia Suluhu Hassan kesho atazungumza na wazee pamoja na wakuu wa mikoa wote, mheshimiwa rais amebainisha jambo hilo leo tarehe 26 Agosti 2025 Ikulu.

Kihistoria utamaduni wa rais kuongea na wazee ni jukwaa mojawapo kuongelea mambo mazito nchini Tanzania na hivi hali ya kisiasa ya nchi kuelekea uchaguzi mkuu kuna mambo na maswali mengi yanayohitaji kupatiwa mwongozo

Ikichukuliwa Wazee wameona mengi na wana uzoefu mkubwa. Labda ndiyo maana rais anataka kuzungumza nao ili mamlaka zione wazee wanasema nini na wataiambia mamlaka nini.

Ni utamaduni, toka tumepata Uhuru Viongozi wetu wamekuwa wakikaa na kuongea na Wazee.

Picha maktaba za 7 Mei 2021
1756215027862.jpeg

Rais Samia Hassan ktk picha maktaba ya mwaka 2021
1756215132477.jpeg
 
Tayari wadau wengi wa makundi mbalimbali hivi karibuni wameongea mengi na kutoa ushauri

MWABUKUSI ANAZUNGUMZA JAMBO ZITO MUDA HUU/YANAYOENDELEA NCHINI...

View: https://m.youtube.com/watch?v=XzPJfB1W54k
Rais wa chama cha mawakili Tanganyika TLS akiongea na waandishi wa habari leo 26 Agosti 2025 na kubainisha juhudi zao walizofanya tangu April 2025 hadi Agosti 2025 kuufikia uongozi wa nchi na mapendrkezo mbalimbali waliyopewa ili kumshauri rais wa Jamhuri ya Muungano kuhusu hali ya kisiasa, haki, demokrasia na uchaguzi wa 2025 nini kifanyike nchi ilirudi kuwa na umoja ...
 
Mh. Samia Suluhu Hassan kesho atazungumza na wazee pamoja na wakuu wa mikoa wote, mheshimiwa rais amebainisha leo tarehe 26 Agosti 2025 Ikulu.

View: https://m.youtube.com/watch?v=lGoDPZUMinE
Kihistoria utamaduni wa rais kuongea na wazee ni jukwaa mojawapo kuongelea mambo mazito nchini Tanzania na hivi hali ya kisiasa ya nchi kuelekea uchaguzi mkuu kuna mambo na maswali mengi yanayohitaji kupatiwa mwongozo

Ikichukuliwa Wazee wameona mengi na wana uzoefu mkubwa. Labda ndiyo maana rais anataka kuzungumza nao ili mamlaka zione wazee wanasema nini na wataiambia mamlaka nini.

Ni utamaduni, toka tumepata Uhuru Viongozi wetu wamekuwa wakikaa na kuongea na Wazee.

Picha maktaba za 7 Mei 2021
View attachment 3453817
Rais Samia Hassan ktk picha maktaba ya mwaka 2021
View attachment 3453818

Hata Mzee wangu naruhusiwa kumpeleka akaongee?
NB: Mzee wangu ni mstaafu wa kazi ya ulinzi(korokoloni) ambayo alikuwa analinda kwa wahindi kwa muda wa miaka 32
 
Siku za karibuni wadau wengi wenye ushawishi wamekuwa wakiongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Na mazungumzo yao kuvutia malaki na malaki ya wasikilizaji

TOKA MAKTABA:

20 August 2025
Humphrey Polepole haya yatakuwa mazungumzo yangu kabla ya maelezo yangu ya mwisho. Ni imani yangu kwamba viongozi wangu na hasa Mwenyekiti na Rais wangu Mama Samia Suluhu Hassan atakuwa na moyo mkuu kusimama na kutetea Haki, CCM, Nchi na Taifa letu...

View: https://m.youtube.com/watch?v=1G0VfFetOx4
 
Huyo ndo Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania. Nyumbu wote hutokwa na kinyesi Kila mara wanapolisikia jina lake.
 
Nina uhakika nyumbu wa lissu waliojaa humu jf wameshakimbilia vyooni saa hz kujiswafi haja zao kubwa zilizowatoka mara baada ya kukisikia jina hili lililoshindikana....... Samia Suluhu Hassan!!!
 
RAIS SAMIA HASSAN KUONGEA NA TAIFA KUPITIA MKUTANO WAKE NA WAZEE 27 AGOSTI 2025

Mh. Samia Suluhu Hassan kesho atazungumza na wazee pamoja na wakuu wa mikoa wote, mheshimiwa rais amebainisha leo tarehe 26 Agosti 2025 Ikulu.

View: https://m.youtube.com/watch?v=lGoDPZUMinE
Kihistoria utamaduni wa rais kuongea na wazee ni jukwaa mojawapo kuongelea mambo mazito nchini Tanzania na hivi hali ya kisiasa ya nchi kuelekea uchaguzi mkuu kuna mambo na maswali mengi yanayohitaji kupatiwa mwongozo

Ikichukuliwa Wazee wameona mengi na wana uzoefu mkubwa. Labda ndiyo maana rais anataka kuzungumza nao ili mamlaka zione wazee wanasema nini na wataiambia mamlaka nini.

Ni utamaduni, toka tumepata Uhuru Viongozi wetu wamekuwa wakikaa na kuongea na Wazee.

Picha maktaba za 7 Mei 2021
View attachment 3453817
Rais Samia Hassan ktk picha maktaba ya mwaka 2021
View attachment 3453818

sema ataongea na waislamu.....hakuna watanzania hapo. Note this post
 
Tunaomba atangaze kuachia ngazi
 
Siku za karibuni wadau wengi wenye ushawishi wamekuwa wakiongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Na mazungumzo yao kuvutia malaki na malaki ya wasikilizaji

TOKA MAKTABA:

20 August 2025
Humphrey Polepole haya yatakuwa mazungumzo yangu kabla ya maelezo yangu ya mwisho. Ni imani yangu kwamba viongozi wangu na hasa Mwenyekiti na Rais wangu Mama Samia Suluhu Hassan atakuwa na moyo mkuu kusimama na kutetea Haki, CCM, Nchi na Taifa letu...

View: https://m.youtube.com/watch?v=1G0VfFetOx4

Mtandao ulivyozizima kila balozi mstaafu alipokuwa akizungumza na watanzania :

My Take
Leo nahisi ndio siku Comred Polepole atatekeleza ule ushauri wangu,GE2025 - Polepole ni muda wa kujitoa mwenyewe CCM kabla hujafukuzwa, utaheshimika zaidi! wa kumkataa shetani na mambo yake yote,atayakataa, atashuka kutoka katika hilo tawi la mti alilokalia,atasimama pembeni kwa miguu yake yote miwili ,akiwa mtu huru,sio mguu ndani mguu nje!,anajiweka pembeni, anakaa kando, akiwa mtu huru,kama ni kukata mti, anakata na mti unakwenda chini jumla, mazima!na sio ile ya kutaka kukata tawi la mti alilokalia!,leo anakuwa free! ndipo atwae shoka,with all his mighty powers,apige pigo moja kuu,pigo takatifu,apige shoka moja mbuyu chini!na baada ya hapo,atasema imekwisha!,atanyamaa kimya na kuiachia karma imalizie kazi!

Hii ya leo sii ya kukosa!
Usikose!
 
Hao wazee ndio hao akina kikwete, ndio wazee wake....na wakuu wa mikoa wote ni ndio mama😀, tusitarajie jipya lolote huko.....

Muhimu tu akumbuke kuliweka taifa pamoja...maana kifuatacho kutakuwa si kizuri sana baada uchaguzi kuisha
 
Ndo maana leo akawajaza aliowaita maimamu.
Samia haongei na wazee. Anaongea na MAKADA WA CCM WAISLAMU
Nyerere alisema kuwa mwanasiasa aliyefilisika hukimbilia kwenye idini, huyo ndiye sa100
 
RAIS SAMIA HASSAN KUONGEA NA TAIFA KUPITIA MKUTANO WAKE NA WAZEE 27 AGOSTI 2025

Mh. Samia Suluhu Hassan kesho atazungumza na wazee pamoja na wakuu wa mikoa wote, mheshimiwa rais amebainisha leo tarehe 26 Agosti 2025 Ikulu.

View: https://m.youtube.com/watch?v=lGoDPZUMinE
Kihistoria utamaduni wa rais kuongea na wazee ni jukwaa mojawapo kuongelea mambo mazito nchini Tanzania na hivi hali ya kisiasa ya nchi kuelekea uchaguzi mkuu kuna mambo na maswali mengi yanayohitaji kupatiwa mwongozo

Ikichukuliwa Wazee wameona mengi na wana uzoefu mkubwa. Labda ndiyo maana rais anataka kuzungumza nao ili mamlaka zione wazee wanasema nini na wataiambia mamlaka nini.

Ni utamaduni, toka tumepata Uhuru Viongozi wetu wamekuwa wakikaa na kuongea na Wazee.

Picha maktaba za 7 Mei 2021
View attachment 3453817
Rais Samia Hassan ktk picha maktaba ya mwaka 2021
View attachment 3453818

Hana lolote la maana
 
Back
Top Bottom