PreGE2025 Samia Kings (Madee, AY na Chegge) kufuturisha Watoto yatima na wenye Uhitaji maalum Machi 22, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,498
Wakuu

Kundi la wasanii wanaojlikana kama Samia Kings linaloundwa na Madee, AY na Chegge, limetangaza kufuturisha watoto yatima na wenye uhitaji maalum mnamo Machi 22, 2025. Hafla hiyo inalenga kuwapa faraja watoto hao wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

1742542543713.png
Pia,Soma

Hata sielewi kwann kila kitu saivi ni samia samia samia mpk mambo yanayohusu dini seriously yan ramadhan inatumika kumtangaza mwanasiasa, futari inatumika kumtangaza mwanasiasa kweli kbs yan kwngne kote wamekosa na kngne maccm humu yanatamba mama abdul kafanya makubwa kwa muda mfupi je kuna sababu gn kutumia nguvu nyng kumtangaza hayo aliyofanya si yanaonekana na yanatosha kumtangaza kbs.
 
Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza.

Hapo ni mwendo wa kibaya kujitembeza.
 
Uchawa ulipofikia hatari Sana, njaa inakufanya mpaka ubadili Imani Yako sijui itakuwaje kama jambo la jinsia Moja sijui halo utabadili.🤥🤥
 
Hata sielewi kwann kila kitu saivi ni samia samia samia mpk mambo yanayohusu dini seriously yan ramadhan inatumika kumtangaza mwanasiasa, futari inatumika kumtangaza mwanasiasa kweli kbs yan kwngne kote wamekosa na kngne maccm humu yanatamba mama abdul kafanya makubwa kwa muda mfupi je kuna sababu gn kutumia nguvu nyng kumtangaza hayo aliyofanya si yanaonekana na yanatosha kumtangaza kbs.
Siku zote ukiwa incompetent lazima uwekeze sana kwenye uchawa ili uonekane upo competent. Haya tunayaona hata makazini huku.
 
Pesa za walipakodi zimetumiwa kwa mlango wa nyuma mkidanganywa hao matapeli ndio wameaandaa hilo tukio.
 
Back
Top Bottom