GE2025 Samia: Kibati kikipasuka, oktoba 29 tuko nao

GE2025 Samia: Kibati kikipasuka, oktoba 29 tuko nao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,038
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amewatoa hofu Watanzania kwamba, wasiogope kwenda kupiga kura Oktoba 29, 2025, kwamba yeye ni Amiri Jeshi Mkuu wa nchi na kibati kikipasuka wako nao.

Dk. Samia ametoa kauli hiyo leo Oktoba 10, 2025, katika mkutano wa kampeni uliofanyika Bariadi, mkoani Simiyu. ”Niseme niwatoe hofu kuna watu wanatishatisha kufanya watu wasitoke Oktoba 29, 2025.

“Ninataka kuwaambia ninayezungumza hapa ni Amri Jeshi Mkuu wa nchi hii. Ninataka kuwaambia wasidhubutu, kibati kikipasuka sisi tuko nao tumejipanga vizuri tokeni kapigeni kura rudini nyumbani mkapumzike. Hakuna mtu wa kuwapa hofu mkapige kura,” ameahidi.

Soma pia: Rais Samia: Oktoba 29 Tokeni kapigeni kura hakuna jambo baya litatokea

1760258275412.png
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Kibati kikipasuka alimaanisha Nini?
 
Back
Top Bottom